Ombi la namba ya waziri mkuu mizengo pinda jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi la namba ya waziri mkuu mizengo pinda jamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Salas, Feb 11, 2011.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ewe Mtanzania mpenda maendeleo kuna Mzee Mmoja amezulumiwa haki zake anaomba msaada wa namba ya simu ya Waziri Mkuu please help him...

  Kwaniaba yake asanteni sana.
   
 2. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #2
  Feb 11, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Pinda?? the PM ? the son of Peasant? mmhh
  atamsaidia kweli huyo mtoto wa mkulima?
  sio kwamba ataanza tu kulalamika ?
  sijui labda jaribu bahati yako..
   
 3. sijuikitu

  sijuikitu JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie aenda pale town ofisini kwake....ukimpigia mwenyewe anaweza asipokee.
   
 4. doup

  doup JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  Kupata appointment si itakuwa issue labda kama issue yenyewe si ya halaka, na ulasimu tulio nao atapigwa kalenda mpaka achakae na mh unakutahana hata taarifa kama kuna mtu anamtafuta, akipata namba anaweza hata Kum-sms
   
 5. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nikuwekee hapa au kwenye PM?
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kumuona akiwa dodoma ni rahisi zaidi kuliko akiwa dar... ajaribu bahati yake muda huu wa bunge, akirudi dar asahau!!
   
 7. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mdau shukrani sana kwa niaba ya Huyo Mzee! Niwekee kwenye PM
   
 8. M

  Mantisa Senior Member

  #8
  Feb 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Mdau mi naomba unipm email address yake plz
   
Loading...