Ombi la nafasi ya kazi ya kuuza duka au biashara yeyote Dodoma

Shararizo

Member
Aug 14, 2017
40
19
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26, nimemaliza shahada ya kwanza ila kutokana na hali ngumu ya ajira nimeamua kutafuta kazi ya kuuza bishara yeyote hapa Dodoma.

Mimi ni mwaminifu na nina uzoefu maana nishawah kuuza mitumba miezi kadhaa iliyopita.

Naomba kusaidiwa.
 
Omba kazi yoyote, usimpangie mtu kazi ya kukupa
 
Aisee hili ombi hata hujasema una fani gani kama umesomea masuala ya biashara/uchumi umeishia tu kusema ni graduate hivi hivi unaweza kosa fursa nyingine nzuri kwa elimu yako

Anyway jinsia je?? Hadi hii umeshindwa kuiweka ndugu?

Pangilia vizuri ombi laki la kazi mkuu
 
Petrol station mkuu!!!!! Inahitaji mtaj zaid ya 50m
Sio kweli. Location yakukodi ina varry 500k to 3m.per month, mafuta tanki 1 = 3m to 4m. Renovation ya sehemu+kodi tra na facilities zingine=5m.not necessary at the start,you just need the clean environment,visima or matank pump. Pump chukua kwa mkopo efta au kuna jamaa wapo masaki apo wanauza pump kwa mkopo unalipia kwa awamu. Total 15m.unatosha kuanza biashara ya mafuta.

Shararizo ondoa fikra mgando za kuajiriwa.jiajiri upate akili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom