Ombi la Lema kwa Zitto na kauli ya Werema - Unganisha dots...

MKUU WA NCHI ALISEMA ANAYO MAJINA YA WAUZA UNGA+ZZK NINAYO MAJINA YA WALIOFICHA FEDHA USWIS=:A S-confused1:(CONFUSED) WHY AND FOR WHOM?HAO WATU WANAOOGOPWA KUTAJWA WANA NGUVU KIASI HICHO?AU TUNAWAJUA?AU NI NDUGU ZETU WA KARIBU?AU NI WATU HATARI SANA?=CONFUSED WITH BONGO POLITICS
DAH UMESAHAU KUMALIZIA NA MBOWE ANA MKANDA WALIOLIPUA BOMU ARUSHA UKIONGEZA NA LEMA ANAWAJUA WALIOMTENGENEZEA VIDEO ANALIWA KIBOGA LAKINI AJABU WOTE WAMESHINDWA KUWATAJA ANOTHER :A S 100::confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1:
 
Tatizo la vijana wa nchi hii hatupendi kukaa chini na kuanalyise issues wala hata kusoma..!! Tuna ushabiki UPEPO..!! Ndo maana tunaaminishwa vitu vya kipumbavu ambavyo havina hata msingi..!! Siasa za chuki zidi ya ZZK ni za watu wachache wanaotumia siasa kama mtaji wao wa maisha..!!! wanajua fika wazalendo wakiongoza hivyo vyama vyao sera za chama zitasimamiwa kikamilifu na mianya yote itazibwa..!!!
 
Back
Top Bottom