Ombi la kizalendo: Dr. Slaa ashike TRA ili asimamie uadilifu kwa vitendo

moma2k

JF-Expert Member
Dec 12, 2010
1,061
1,327
Nimeona leo TBC ikionyesha Rais Magufuli akiwa bandarini ambako kuna uozo mkubwa sana. Mimi ni mwanasheria ambaye pia ni mtaaam wa sheria za kodi.

TRA ni jipu kubwa sana. Hayo 'magari hewa' ambayo mmiliki hajulikani, na yamefichwa; wahusika wa kubwa ni watumishi wa TRA.

Madili hayo kisheria TRA wanajua na ilivyo lazima walihusika na wanaendelea kuhusika katika ujinga, upumbavu na ufisadi huo.

Hata boss wao ulipoulizwa maswali ya kisheria(cross examination) na Rais Magufuli, ameshindwa kabisa kuyajibu.

Kimsingi amejibu pumba tupu. Kama mtu ambaye hajasoma kabisa. Eti anaongelea kikosi kazi. Why now?

TRA inatakiwa iongozwe na mtu makini na jasiri. Kwa maoni yangu Dr. Slaa Wilbroad angeinyoosha TRA in two weeks. Otherwise Rais Magufuli umetukonga nyoyo sana kwa ujasiri wako huo.
 
Nilisema TRA ni tatizo. Haina kiongozi mwenye msimamo mkali. Boss wa TRA awe mtu mwenye msimamo mkali na mzalendo. Wa sasa huyo ni mtupu. Leo Waziri Mkuu ameenda kuuona uozo wa TRA kusajiri matrela kinyume cha sheria. TRA is a CANCER.
 
Back
Top Bottom