Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

Kamanda unachosha kwa kubandika threads zenye maudhui yale yale mitandaoni kila siku.

Ingia barabarani uandamane.
Tatizo lako wewe ni kula kulala tena kwa shemeji yako.

Hapo ndiyo shida inaanzia maana hujui ugumu wa maisha wala vikwazo tunapishana navyo kwenye kutafuta maisha.
 
Anapindua ya Magufuli huku akiyaacha mengine anayofaidika nayo ambayo huyo Magufuli ndio aliyaasisi. Hayo ya kunyima wapinzani kufanya mikutano yao.
 
Screenshot_20211128-090107_WhatsApp.jpg


Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
 
Back
Top Bottom