- Thread starter
- #21
Corona inaweza
Tatizo lake tu ni kuwa kwa bahati mbaya inakumba na wasiokuwamo.
Apumzike kwa amani Maalim Seif.
Corona inaweza
Tatizo lako wewe ni kula kulala tena kwa shemeji yako.Kamanda unachosha kwa kubandika threads zenye maudhui yale yale mitandaoni kila siku.
Ingia barabarani uandamane.
Yeye ni kula kulala tu huyoulichoandika hata wazazi wako wakisoma watakutema mate. Jifunze kushughulisha ubongo wako.
Amina lkn wacha tuipe heshima yake angalauTatizo lake tu ni kuwa kwa bahati mbaya inakumba na wasiokuwamo.
Apumzike kwa amani Maalim Seif.
Ccm hakujawahi kutokea msafi wa kuheshimu demokrasia.Anapindua ya Magufuli huku akiyaacha mengine anayofaidika nayo ambayo huyo Magufuli ndio aliyaasisi. Hayo ya kunyima wapinzani kufanya mikutano yao.
Amina lkn wacha tuipe heshima yake angalau
Wanajua Chadema ni magaidi wakiongozwa na Gaidi Mbowe.View attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Huko ndiyo kila kitu maana ndiyo chimbuko la yoote Umwaana waaachuuKwa ujumla hata huku Burundi yumkini wanaishukuru mno pamoja na yote.
Hiiiiii bagosha!
Huko ndiyo kila kitu maana ndiyo chimbuko la yoote Umwaana waaachuu
Hajawahi kushindwa hata siku mojaEeh mola wetu pokea shukurani zetu tunapoendelea kulilia wewe
Naona huyo odc ana ugomvi na waziri wa utaliiView attachment 2025853
Baada ya kupeleka ombi la kufanya shughuli za siasa kwa mujibu wa katiba tumeambiwa kuna tishio la ugaidi mikusanyiko haitakiwi. Tumewaandikia mapolisi watuambie magulio na minada haipo kwenye target ya magaidi? Hajajibu
Yule ni sawa na pipa tupu maana anachoandikaga sijui kama huwa anakufanyia valuationKuna Jamaa mmoja humu JF (johnthebaptist) alimshutumu JJ Mnyika kukaa ofisini huku Chongolo akichanja mbuga kuimarisha chama. Atakuwa amepata majibu.
Hajawahi kushindwa hata siku moja
Na endapo ikafikia hatua hiyo ya kupata madaraka na kuwa na uwezo wa kukata masikio basi kila mwana ccm aliyafanya unyama atakiona kilichomfanya kuku asikojoe na maji yuwanywa.Dah! pole sana CHADEMA ipo siku mtatamba na nyie sema msijelipa kisasi
Kwahiyo ulegelege W upinzani nikwamba hawafanyi vita au kwasababu hawapambani na ccm bali wanapambana na vyombo vya do lá?Upinzani ni lege lege!
ndio maana mimi nilisha conclude serikali imejaa mabogus wengi sana,hawana muda huo unaotaka weweKuna vitu serikali huwa inafanya pasipo kufikiria...
Hiyo barua kama ni rasmi inaweza hata ikatumika kama kielelezo kwenye mashirika makubwa ya habari duniani kuonesha kuwa eneo tajwa lipo kwenye tishio la ugaidi...