Ombi la kikao CHADEMA lakataliwa kutokana na tishio la Ugaidi

Dawa ya Uvccm

Senior Member
Aug 3, 2021
182
500
Wapinzani wenyewe hawasomeki , ndo chanzo kikubwa cha kuchochea makundi ,pambaneni na Hali zenu
Mtanyooka tu mabwege mnaopigwa tozo za kijinga na kulipia kodi ya pango kwa luku wakati mmepanga na maisha yanawatandika nenda kanunue kipande cha sabuni b29 kwa 500
 
issenye

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
3,605
2,000
Kamanda unachosha kwa kubandika threads zenye maudhui yale yale mitandaoni kila siku.

Ingia barabarani uandamane.
Ukitaka usisome mambo yale yale kila siku, basi jitoe kwenye mitandao ya kijamii hasa hii ambayo watu wako huru kutoa maoni yao. Kuna mitandao mingi ambayo inamilikiwa na watu wa ccm na serikali kwa ajili ya kusifia kila kitu, jiunge huko.
 
LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
516
500
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?

View attachment 2025817

Vipi hii kuwahusu hawa wengine?

View attachment 2025819

Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
Chongolo ni chama tawala, yuko kazini. Anasimamia serkali kuhakikisha inatekeleza Ilani zake. Angeweza kuwaita mmoja mmoja au makundi makundi waje Lumbumba Street kujieleza lakini uchungu wa kazi na uzalendo zimemwongoza aende mwenyewe asingoje ya kuambiwa. This has nothing to do with kongamano or mbowesiyogaidi au tumehuru: hii ni kazi.
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
16,457

Kama unadhani hujayasahau maneno haya: "kwa maoni yangu ..." kabla ya kuanza kuandika lolote, wahi mirembe mjomba.

Kumbuka huko ni kama mhimbili tu ambako vigogo haswa wametajwa kuwa na mafaili huko.
 
mr chopa

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
5,294
2,000
Nani asiye na habari ya mizunguko ya akina Chongolo au Shaka nchi nzima, wakikusanyika na kufanya siasa bila kubughudhiwa?

View attachment 2025817

Vipi hii kuwahusu hawa wengine?

View attachment 2025819

Bado Rais Samia na serikali nzima wangependa kuaminika kuwa haki na usawa ni agenda zao pia?
Ccm chama kilicho madarakani ni lazima kifanye siasa mda wote,hizo saccos za chandimu na wengineo wasubiri wakati wa kampeni
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom