Ombi la kazi yeyote ile, Elimu yangu ni kidato cha sita tahasusi ya HGK

HAPA NDIO PROVE YA UPUUZI WA ELIMU YA ADVANCE(FORM 5 NA 6)

MTU KAPOTEZA MUDA MIAKA MIWILI NA GHARAMA KUSOMA VITU AMBAVYO HAVITOMSAIDIA MAISHANI...CHECK SASA...WAPI ATAWEZA KUAPPLY HGK YAKE...?
Mzee sio muda wa kulaumiana au kusemana
 
Kama Kaz yeyote ukozi aise Kaz zipo nyingi zozote zile Kam barman . gardens, tarura na kwa wachina wa kujenga Barbara Hapo ukozi pia kibarua.

Ila taaluma yeyote upati kiurasi Kazi.

Hvyo jaribu tafuta mtu wa tarura akupe kimashine ukaakte Kodi ya maegesho huku ujaaribu kutafuta alternative
Huo uandishi aisee!
 
Back
Top Bottom