Ombi kwako Mh Rais magufuri

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
4,611
9,814
Pole kwa kazi ngumu ya kulitumikia taifa Mh raisi, leo ninekuja jamvini kwa ombi moja kwako mheshimiwa raisi

Ombi hilo nikuomba jurejesha makato ya asilimia 8% kwa wadaiwa wa bodi ya mkopo wa elimu ya juu

Tunajua maendeleo ya taifa yanaendeshwa na kodi pamoja na sisi wadaiwa kulipa madeni lakini mheshimiwa sisi wadaiwa tulianza kukatwa mda mrefu ukiongeza hiyo asilimia 7 % hali inakuwa mbaya zaidi kwani

Wanafaika wengi wa mkopo wa elimu ya juu walioajiliwa wengi wao wana mikopo katika matasisi ya kipesa kwaiyo ukiongea tena hiyo asilimia toka 8% kwenda kumi na tano 15 tutaumia sana Kwani wengine tunatoka familia za kimaskini mshahara huu huu tunagawana na familia zetu vijijini uko na tuliomba mikopo kwa sababu familia zetu zilikuwa hazijiwezi

Tunaomba utusaidie mheshimiwa


Asante
 
Back
Top Bottom