Ombi kwa wanao tafuta wachumba JamiiForums

mkata-mkaa

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
296
181
Wakuu habar zenu...
Ombi langu ni kwa nyie mnao tafuta wachumba JF .
Jamani weken picha..kama mtu mweny nia angalau akuone basi..sio kuweka masharti lukuki tu.
Lengo ni kuondoa usumbufu , yaan mtu apitie mzunguko Wa kuzama Pm alafu uanze kutia mistali then upate Namba baada ya hapo mu set meeting sasa mnapo onana unakuta sio type yako.

Kuepuka shida zote izo jaman waken picha...ili mtu asipoteze Muda wake na ela za bando kwa Goma ambalo sio type take.

Cc: miss natafuta
 
wanao kuwa interested wanapeana namba pm kisha kama ni picha na mambo mengine wanamalizana huko huko...
we unataka picha za watu za nini? yaani mtu atumie jina fake halafu aweke picha yake halisi?
Kuondoa usumbufu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
acb6d1522bfbe8ccebf9265214ff8855.jpg
 
Back
Top Bottom