Ombi kwa Wakala wa Barabara (TANROADS) na Waziri wa Ujenzi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Ndugu ,

Kwa heshima na taadhima, ndugu Waziri anayehusika na ujenzi wa Barabara, natoa rai yangu kuwa kufuatana na hadha ya foleni iliyopo surrender bridge Mpaka Moroco inaweza kuepukika ikiwa mtafanya yafuatayo. Mbinu iliyotumika ya ujenzi wa barabara wa Morroco -Mwenge inaweza kusaidia ikiwa mtaitumia kwa kuondoa kifusi katikati kilichopandwa maua kikawa uniformo ya barabara ya Surrender bridge to Mwenge.

Kwa kuwa barabara hii ni imara, unaweza kutumia gharama ndogo kwa kutengeneza mifereji na kubadilisha muundo wa zamani ambao maji yanapokelewa katikati.

Kwa kuondoa kifusi hiki utaokoa muada tunaoupoteza surrender asubuhi na jioni. Ni wazo tu Waziri wangu.
 
Back
Top Bottom