Ombi Kwa Waandishi wetu wa Habari waliotukuka

kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
1,225
2,000
Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kutuhabarisha mambo mbalimbali yanayotokea around the World.

Ila jambo moja mnasahau. Kuna habari ambazo sisi wahabarishwa huwa tunapenda sana kujua zimefikia wapi au zinaendeleaje, kwa sababu unakuta tukio lenyewe ni la kuendelea.

Kwa mfano: "Akamatwa na meno ya tembo chumbani" Akutwa na 3.6 bilioni kwenye mabegi" pa pa pa pa habari motomoto kweli, halafu Siku mbilitatu: " Diamond awasha moto Mbagala, pa pa pa pa, habari motomoto kweli, nk. Baada ya hapo kimyaaaaa!! no progress report no what! Mnatuacha hewani!!
 

Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,277
2,000
Waziri mkuu apokea ripoti ya soko la Kariakoo halafu baada ya hapo inaenda kufungiwa kwenye makabati.
 

Baraka21

JF-Expert Member
Mar 15, 2021
1,277
2,000
Samia apokea ripoti ya ukaguzi wa BOT kuanzia January hadi March...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom