Ombi kwa waandishi na wapenda blogs | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa waandishi na wapenda blogs

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MrFroasty, Nov 30, 2009.

 1. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Habari zenu wana JF,

  Mimi ni mmoja wa wanzilishi wa mtandao wa MZALENDO.NET, nitatoa takwimu za mtandao au project hiyo hapa tokea tufungue mtandao huo.

  Takwimu za maendeleo project ilipofikia:

  Takwimu za MZALENDO.NET tokea ianzishwe hapo kati ya mwezi wa June,2009 hadi Nov 29 2009 (repoti kamili hapo chini)

  **NEARLY 30,000 VISITS!!!
  **WITH 102,556 PAGEVIEWS!!!
  **USERS ACROSS THE GLOB, FROM 94 COUNTRIES!!!See the top ten from the report!
  **INCREASE RATE 30%

  Hizi takwimu ni za kuridhisha sana, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote wanaosupport project hii yenye lengo la kutengeneza OPEN ONLINE NEWS PLATFORM kwa ajili ya wazanzibari.
  Hakuna shaka platform hii hadi sasa habari zake nyingi ni za magazetini, Internet, Zanzinet Mailing List (ukumbi wetu) na vyanzo vyengine kutoka kwa wadau wengine akiwemo Bi.Salma Said pamoja na globu yake ya ZanzibaryetuÂ…wengi wakiwa ni wanachama wa Zanzinet pia.

  Ili mtandao huu uendelee kwa mafanikio, na project hii ya MZALENDO.NET ifikie baadhi ya malengo yake tunaomba misaada ifuatayo:


  **Wadau kutoka Zanzibar, wakiwemo wachangiaji au wapiga picha
  **Waandishi, naomba ushirikiano wenu kwenye project hii ambayo inalenga kufichua habari kutoka Zanzibar.Wazanzibari watashukuru sana kwa mchango wenu huo wa maandishi na kazi yenu hiyo ya kuelemisha jamii.

  **Moderators na HELP DESK supports, kuhudumia au kutoa maelekezo ya kutumia mtandao huo.
  **Technical Engineers au kamati ya ufundi.

  Future Plans or TODO list:

  **Utoaji zawadi kama za camera, viredio vya kurikodi sauti pengine na zawadi ndogo ndogo za kifedha kwa wachangiaji wakubwa wa mtandao hususan waandishi wetu.Hii si kwa lengo la kuwalipa, kwani hatuna uwezo wa kuwalipa kazi kwa kazi yao ni kama zawadi na kuonesha ya kutunuku.

  **Becoming the 1st stop point for Zanzibar News and Event

  Sponsors or Donors:

  **JamboIT hii ni kampuni ndogo iliyojitolea komputa zake kutumika kwa ajili ya shughuli nzima ya kuendesha MZALENDO.NET

  **Domain cost imekuwa sponsored na (Mrfroasty) tumelipia hadi 2011

  **Technical Support, Webmaster,Administration kwa sasa mdau ni (Mrfroasty)

  Shukuraani
  Shukuraani na tunatarajia wadau kushiriki katika project hii ili kunufaisha na kutoa elimu kwa mtandao.Kama utapendelea kushiriki, kwa namna yoyote ile tafadhali wasilia nasi kwa barua-e :admin@mzalendo.net

  Repoti kamili:
   
 2. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2009
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Thanks mkubwa tupo pamoja kwa kila jambo mkubwa
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Dec 1, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  tunashukuru sana kwa tathimini tuko pamoja
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Yuko kibiashara zaidi huyu ndugu!

  Lakini wadau toka bara mbona ni kama hawakaribishwi kwa mikono miwili?
  Au huko kufichua habari unakoongelea hakuwahusu?

  Ni habari gani hizo (sijaupitiamtandao huo,sory!)
   
 5. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 702
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Niko kibiashara kimtindo gani?Huo mtandao ni wakizalendo, na hauna biashara hata moja inayofanyika hapo.

  Kwa suala la wadau kutoka bara, mitandao au blogi kutoka bara ziko chungu tele...lengo kuu la MZALENDO.NET ni kutengeneza Zanzibar Free Online News Platform, au kwa maneno mengine Blogi ya kizanzibari.Sasa mdao wa kutoka bara, hapo atakuwa hajatengwa wala kubaguliwa...kama atajitokeza kutaka kushiriki anakaribishwa vile vile.Lakini ajue kama anatembelea mtandao ambao utakuwa una interests asizopendelea...yaani awe tayari kustahamili propaganda za ki-anti Tanzanian Union, Mapinduzi, Anti-Nyerere legacies etc...

  Hatutoweza kuwazuia wazalendo kuzungumzia mambo yanayowakera, ambayo nina uhakika mdau kutoka bara hatopenda kuona Nyerere anakandiwa mbele yake!

  All in all, kama utapendelea kuchangia unakaribishwa nafikiria wapo wadau kibao kutoka Dar wanatembelea mtandao huo wakitaka habari za Zenji.
   
Loading...