Ombi kwa RC Makonda barabara ya kwa Msuguri ni tatizo kubwa

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
3,628
2,000
Mh.Makonda nimekuona leo ukiwa bize kusimamia miradi ya kimkakati jijini Dar ombi langu ni hii barabara ya kutoka stand ya kwa msuguri kuelekea msingwa kuanzia eneo la round about ya kwa msuguri ni kero Kubwa sana haipitiki hasa mvua zikinyesha

Barabara hii amabayo iko chini ya TARURA kuna uhuni pale unafanyika wale jamaa hawana vifaa hawana njia ya muda na ni kama wameutelekeza huu mradi kipindi hiki wananchi wanateseka ni bora wangeiacha tu ilivyokuwa kuliko haya ya kuichimba na kuiacha

Mh ukipita pale utaona aina ya mkandarasi alivyoharibu barabara hiyo na mvua ikinyesha hakuna bodaboda ,gari wala watembea kwa miguu wanaoweza kupita hapo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,702

Mkuu ni kweli kabisa usemalo, natamani wakuu waikumbuke njia ile maana hali yake ni mbaya.

Hata yule mbunge mwenye ile shule yake iitwayo St. Anne Marie hajali kabisa ile njia kama haioni vile, mbaya zaidi huwa anatumwagia mtaani maji machafu ya vyooni yanayonyonywa kwenye vyoo vya pale shuleni kwake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom