Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,558
Mkuu waliletwa bara kwa ajili ya kusikilizwa tuhuma zingine za kubambikuzwa na walikua wanaripoti mahakamani na kulikua kuna dalili za kushinda kesi zoteKama walikamatwa Zanzibar na muislam mwenzao, kwanini walihamishiwa bara Kama sio magaidi, walipokuwa wakidai kuwa wanalawitiwa jela alikuwa rais gani, wamekaa miaka mingapi kabla kikwete hajaondoka madarakani, kwanini huyo Mufti hakumwomba kikwete awaachie.
Kumlaumu John ni chuki za udini, unatumia udini kumkwepesha Shein na Kikwete kwenye Hili sakata, mnadhani mtamtisha John na udini wenu
Lakini join alipoingia akaamrisha kesi zisiendelee kwa sababu ya chuki yake kwa waislamu
Mpaka leo Hakuna mtu anasema waachiwe Bali tunataka kesi zao zisikilizwe na kama wana hatia hata wakihukumiwa kunyongwa ki halali Sisi tutaridhika sio kuwashikiliwa na kusema wazi wazi 'mimi nayachukia maislamu wacheni tafie huko'
Hata Kama anayochuki kwa jamii fulani kwa sababu yeye ni rais alikua anatakiwa ashinde nafsi take na awe muadilifu
Sio masheikh wa uamsho tu bali kila kukicha tangu aingie madarakani kuna narundo ya viongozi wa kiislamu wanakamatwa wanafia jela kwa mateso kama kule arusha masheikh zaidi ya 70 wapo jela bila kesi
Mbeya. Tanga.Mwanza nk
Sisi tunasema hizi dini za uislamu na ukristo zimeletwa na waarabu na wazungu na sababu sio kuchukiana na kuumizana kama anavyofanya Jon
Anyways hawezi kulazimisha sote tuwe na imani moja ila lazima akubali na avumilie akiona watu wanaenda msikitini hata kama anajisikia vibaya