Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

Kama wamevunja amani wapekeke mahakamani na lete ushahidi sio eti kwa sababu wao ni waislamu na kiongozi ni kafiri basi wamevunja amani
Lete ushahidi mahakaman mbele ya hakimu sio bla bla tu
Kwa kweli JK na Shein ni makafiri wakubwa!
 
Ni Kikwete muislamu mwenzao pamoja na mkuu wa usalama na dk shein wote waliowasweka ndani ni Waislamu wenzao
Sio kikwete....
Ni shein na serikali yake ya SMZ lakini walishitakuwa na walikua wanapelekwa mahakamani na kesi zao zilikua katika hatua za mwisho mwisho lakini kafiri alivyo ingia madarakani akaamuru kesi zao ziache kusikulizwa hadi wafie jela kwa mateso na kweli wanakufa mmoja mmoja kwa mateso makali
Pia kuna masheikh wengi mikoani wanakamatwa kila kukicha kwa tuhuma za ugaidi bila kufunguliwa kesi
Hakuna mtu anasema waachiwe ila tunataka kesi zao zipelekwe mahakamani kama wanamakosa wahukumiwe kama sivyo waachiwe
Husein mwinyi na Hayati maalim seif wamemfuata chato na kumpigia magoti sio waachiwe Bali wapelekwe mahakamani jamaa kakataa
Mzee mwinyi. Shein. Kikwete na Dr. Bilal wameomba mara kadhaa jamaa kagoma kabisa kutokana na chuki dhidi ya uislamu aliyonayo
 
Kwa kweli JK na Shein ni makafiri wakubwa!
Kikwete hahusiki kabisa ila shein Ndio aliowakamata na kuwapeleka mahakamani kafiri amesema wasipelekwe kwenye sheria wafie jela kweli hakuna kesi wala hukumu
Na kuna masheikh wengi wamekamatwa kuanzia kafiri aingie madarakani na hawafunguliwi kesi
Kafiri ni kafiri tu hata akisema assalaam aleykum
 
Wewe ni muongo. Kikwete na shein wakati wao hadi walikuwa wanasokomezewa vijiti mkunduni mwao . Lidini wewee. Acha Yafe tu mahabusu
Nimesema walikamatwa wakati wa kikwete lakini walikua wanapelekwa mahakamani
Na masheikh waliopo jela sio hao tu wapo wengi waliokamatwa baada ya kikwete
Haya sasa kama wakifia jela wewe unafaidi nini
Kwani chuki mluzonazo kwa waislam Ndio mtamaluza dini yetu?
Chuki itawaua siku moja eti kwa sababu mtu ni muislamu basi unamchukia unashindwa kujua tuu wako
 
Wewe ni liongo. Kikwete na shein wakati wao hadi walikuwa wanasokomezewa vijiti mikunduni mwao . Lidini wewee. Acha Yafe tu mahabusu.

Alkah atume malaika zake sasa awaokoe
Kila kitu kina mwisho mkuu
Lakini uislamu itaendelea kuwepo hata baada ya Magufuli
 
Waislam wenzao kikwete na shein ndo wamewaweka ndani.
Na ijumaa wanakwenda kuswali
kuna mambo tusiyo ya jua kiukweli.kuna jamaa alitoa uzi kuhusu kipindi karume kuwapeleka jera sijui nini ila walivofika bara nyerere alitaka kila mmoja kukimbia nchi anayo jua.kuna wengine walikomaa kubaki na karume kutopenda
 
Uislam gani? Ushia, usuni, ubohora, uismaili.

Ila Waislamu hampendanani. Yani Kikwete na shenu walikuwa wanawaitia vijiti mkunduni hawa masheikh
Kikwete na shein walikua.....
Yaani mtu anaweza kuandika hayo maandishi ni dhahiri ya chuki ulionayo alifu nashangaa profile yako umeweka picha ya kiongozi wa kiislamu
Anyways wewe unafurahi endelea kufurahi
 
pona pona yao Mashehe wetu hawa ni Tume huru ya uchaguzi tu before 2025. Hakuna njia nyingine. Tuungane sote tudai haki ya kuwepo tume hii.
Tuungane wakati watu wakiitwa barabarani kudai hizo haki wanaingia mitini..........
 
Huyo Dogo ni q. Cc c "
Huyo Dogo kwenye picha ya avatar yangu niMBS mwana wa mfalme wa Saudi Arabia. Kupitia kwake kanisa la kwanza litajengwa Saudi Arabia hivi karibuni
Je ni muislamu?
Mbona Vatican kuna Misikiti
Wazungu wengi siku hizi hawaendi tena kanisani wala hawana dini
Chuki za kidini na kikabila mtabaki nazo nyie
 
Mkuu sio rahisi kuamini lakini ni kweli.

Ebu jaribu kufuatilia ni lini mara yao ya mwisho kufikishwa mahakamani.

Na ni kweli mimi namchukia sana huyu kafiri jinsi anavyotesa waislamu kwa sababu tu ya imani yao.

Mkuu dini ya kiislamu na ya kikristo zimeletwa. Na wazungu na waarabu wala sio kigezo Cha kupenda au kuchukia mtu ila huyu kafiri anatesa sana waislamu na hawezi kumaliza waislamu
Ni nini maana ya neno kafiri,?



Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
 
Padri mwingine huyo aliyenusurika kifo kuuawa na hao Mashehe.

Jeshi la Polisi Zanzibar linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kuhusika na shabulio la risasi dhidi ya Padri Ambros Mkenda (52) mwishoni mwa wiki iliyopita.

Afisa habari mkuu wa jeshi la Polisi Zanzibar Inspekta Mohammed Muhina amesema watuhumiwa hao wamekamatwa usiku wa kuamkia leo kwa ushirikiano wa Makachero wa Zanzibar na wenzao kutoka PHQ DSM bila ya kuwataja majina kwa kuhofia kuingilia upelelezi wa kuwapata wengine.

Watuhumiwa hao wanaendelea kuhojiwa ili kuwapata washiriki wote katika njama za kumvamia na kumshabulia kwa risasi Paroko wa Parokia ya Mpendae mjini Zanzibar.

Amesema bado makachero hao wa polizi wanaendelea na uchunguzi wa tukio hilo, jana akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Naibu DCI Zanzibar ACP Yusuf Ilembo amesema polisi watahakikisha wale wote waliohusika katika shambulizi hilo wanatiwa nguvuni na kukabili mkono wa Sheria.

Haya ndio mambo yanasababisha jamaa waendelee kusota jela na bado sana! Hata aje rais mpemba hawatoki hawa jamaa! Padri wa watu anakosa gani? Mbona hatusikii Shekhe kapigwa risasi nk hapa kuna namna na serikali wakaze tu mpk mwisho,unyama unyama tu!
 
Jela wapo watu wengi tu wamefungwa kwa dhulma
Hao masheikh wanateseka Kwa sababu ya dini yao ni tofauti na huyu kafiri
Sasa kwanini inatumika nguvu kuwatetea hao masheikh tu wakati wapo waislamu ambao wako huko jela kwa dhulma pia kama hao masheikh au kwa sababu wao si masheikh?
 
Haya ndio mambo yanasababisha jamaa waendelee kusota jela na bado sana! Hata aje rais mpemba hawatoki hawa jamaa! Padri wa watu anakosa gani? Mbona hatusikii Shekhe kapigwa risasi nk hapa kuna namna na serikali wakaze tu mpk mwisho,unyama unyama tu!
Hakuna padre kauawa ni uongo kama ni kweli mbona walishindwa kuthibitisha mahakamani?
 
Haya ndio mambo yanasababisha jamaa waendelee kusota jela na bado sana! Hata aje rais mpemba hawatoki hawa jamaa! Padri wa watu anakosa gani? Mbona hatusikii Shekhe kapigwa risasi nk hapa kuna namna na serikali wakaze tu mpk mwisho,unyama unyama tu!
Muhimu haki itendeke hata kama akiuliwa Sheikh halafu akashutumiwa Askofu.
 
Back
Top Bottom