Ombi kwa Rais Magufuli; Watanzania walio nchini China warudishwe Tanzania

lolypop

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,430
1,681
Mheshimiwa Rais

Cc waziri wa mambo ya nje

Ombi langu kwenu, kama itawezekana watanzania wote walioko china warudishwe nchini. Watanzania wenzetu wanapitia mateso huko china, naomba mtume ndege muwarudishe raia wetu nchini.

Pili, balozi wa watanzania aliopo china arudi nchini, na balozi wa china arudishwe kwao mara moja ili kuwaonesha serikali ya china hatujafurahishwa na unyanyasaji unaofanywa na wachina kwa Waafrika


Tazama hiyo video huo ni unyanyasaji
Tatu, wachina waliopo nchini warudi kwao
Tazama watanzania wenzetu walitupwa kwenye maji waliwe na papa
IMG_20200420_125530_868.jpg

Mashine za wachina zile wafanyabiashara wenye nazo wazitaafishe kabisa
images (2).jpg

Nasisitiza serikali yetu isiendelee kukaa kimya, naomba mtoe tamko
N:b tuendelee kuchukua taadhari dhidi vya corona
 
Back
Top Bottom