Halmashauri zetu zimepewa mamlaka ya kukusanya mapato ya ndani ili kujiendesha. Kuna baadhi ya wakurugenzi wanaomba serikali iongeze idara itakayojihusisha na ukusanyaji wa kodi tu badala ya kuwapa idara ya uhasibu au hazina kushughulikia hilo kwani idara hizi zinakazi nyingi.
Watu wenye elimu sahihi ya tax collection waajiliwe kila halmashauri mbali na wale wa TRA. Hii itasaidia kuongeza mapato ya halmashauri zetu.
Watu wenye elimu sahihi ya tax collection waajiliwe kila halmashauri mbali na wale wa TRA. Hii itasaidia kuongeza mapato ya halmashauri zetu.