Ombi kwa ofisi ya rais,menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora

Askari Muoga

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
6,113
4,645
Kutoka gazeti la Mwananchi tarehe 12 /12/2016, Mwandishi [HASHTAG]#JULIUS[/HASHTAG] [HASHTAG]#MAThias[/HASHTAG] ameandika kuhusu mahojiano yake na Katibu wa utumishi wa umma na Waziri Angela kairuki ila ameandika kauli mbili zinazo kizana
Na nukuu Dr Ndumbaro "ajira zote za baada ya Mei mosi ni batili
Na nukuu tena Waziri Angela kairuki "kama walishapangiwa vituo vya kazi lakini hawakuinginzwa kwenye payroll basi wasubiri Maelekezo
ivyo tunaomba taarifa kuhusu vijana waliopangiwa vituo vya kazi lakini hawajainginza kwenye payroll ni hatima yao,pili je Dr Ndumbaro anazungumzia ajira gani na Waziri Kairuki anazungumzia vijana gani
 
Back
Top Bottom