Ombi kwa MWANAKIJIJI

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Ebwana eehh
hapa JF kama unavyojua kama server iko chini wengine hatuna pa kwenda

Nimejaribu kwenda KLH news nimeona hakuna forum

sasa ushauri wangu wewe unganisha LKH news na GUMZO ili gumzo iwe kama part of KLH news

Personally siwezi kwenda DARHOTWIRE,TANZANET na mijiforum mingine ambayo hakuna like minded people kama hawa wa JF

mzee hilo ni ombi na tunahitaji back up forum kama JF iko iko chini

najua saa zingine tunaboana lakini still wote sisi ni members wa JF FAMILY

sijui wengine mna maoni gani?
 
KLH news kuna forum tayari ila bado inatengenezwa na kuboresha ingawa bado unaweza kuvisit kwa saasa!
 
sasa kwa sie wengine ambao tuko impatient basi tunaona inachelewa ndio maana nika suggest GUMZO iunganishwe na KLH news na afterall Gumzo inaonekana iko Fresh tuu sasa sioni sababu ya kutengeneza nyingine kule KLH NEWS

waambie wataalam wazimerge tuu hizo
 
BkM, nenda moja kwa moja kwenye "East Africa" - Tanzania - Forum na utaikuta Gumzo..

Mkuu mwanakijiji,
Hongera kwa kumkomalia Lowassa hadi kaachia ngazi. Kama kuna aliyekuwa anakuchukia kwa "kumuandama" Lowassa nadhani sasa atakuwa upande wako kukupongeza,(kama ana ujasiri na uzalendo huo) kwani sasa tushajua alikokwenda yule "ng'ombe" wetu. Wale watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliokuwa wanakujibu kwenye magazeti waambie waendelee kulumbana na wewe ama JF (kama bado wa nguvu hizo).

All the best.
Idimi
 
mzee mwenzangu... ni forum yangu ya zamani. Nimebadilisha ilipo badala ya "East Africa" utaona mahali panasema "Our Links"... na fuata hapo utaiona.
 
Back
Top Bottom