Ombi kwa mwanachama mwenzetu 'Mbunge wa CCM' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi kwa mwanachama mwenzetu 'Mbunge wa CCM'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RayB, Nov 10, 2010.

 1. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Ndugu 'Mgombea Ubunge' now 'Mbunge wa CCM tunaomba kwa dhati kabisa uangushe kura yako kwa Mabere Marando kuwa spika wa Bunge hili manake hata wewe ukiwa ni shahidi, ndugu zako wa CCM wanaojiita NEC (jina kinalorandana na Tume ya Uchaguzi) wamewatusi watanzania na kuwaona ni mabwege mtozeni.

  Kitendo cha CCM kumvua uspika Mh Sitta kwa kigezo cha gender ni too low kwa mtu yeyote yule hata aliyeishia ngumbaro. Hebu Mh Mbunge jiulize (kama watu walivyohoji humu), ni kwanini basi hawakuweza kuwa wanataka mwanamke awe Spika toka mwanzo wa mchakato? Je walitak kutengeneza hela kwanza? Na je kumtoa mtu katika haki yake ya kikatiba kwa kigezo cha gender, huo sio unyanyasaji?

  With no need of admitting openly here, I know for sure that deep inside you also know this was too low to be accepted even by a simple person. Why are they doing this to 'Wadanganyika'? Is it just to show public that they made a grave mistake to put them power again?

  Hope you will prove to us that there are still some people in CCM with very good intention for this country.

  I thank you 'new born mheshimiwa' in advance for secret vote for Marando for a Speaker seat
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  well presented. Mabere GO GOOOOOOOOOOOOOOOO!
   
 3. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #3
  Nov 10, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Umeona eh? Namsubiri mheshimiwa aje kujibu najua yuko bze dodoma anatafuta hotel ya kufikia na pengine wale ndugu zetu walee
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Nov 10, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  goooooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Nov 10, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  marando akiwa spika,don chenge, lowassa, rostam makamba na wengineo wataharisha kwa hofu! ccm wewe ni adui mkubwa wa nchi hii huna tija tena! siku moja utakufa kifo kibaya sana utachomwa moto na watanganyika. i hate youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu ccm sikufichi.
   
Loading...