OMBI KWA MKURUGENZI WA SSRA & WABUNGE(vyama vyote) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

OMBI KWA MKURUGENZI WA SSRA & WABUNGE(vyama vyote)

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndiyomkuusana, Aug 9, 2012.

 1. ndiyomkuusana

  ndiyomkuusana JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 627
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  MKURUGENZI (SSRA)

  Nakuomba mkuu,usirudie tena kutumika na watawala kuwa kandamiza wananchi, tena ukandamizaji wamoja kwa moja .Nanukuu mahojiano yake Clouds Fm. "hata kama mtalalamika sheria hii haitabadilishwa,kinachosubiliwa ni miongozo" Chunga maneno yako ya mdomoni yatakuhukumu,Ungekuwa Muungwana Ungekuja Chanel Ten,Kwenye Mjadala,ulialikwa lakini Hukutokea. Uliona aibu na uliogopa Watanzania kuiona sura yako live.(wasije kukupeleka Mabwa pande)


  Tulikuheshimu sana lakini tunaomba usirudie, Jaribu kumshauri Boss wako kabla ya Maamuzi.


  WABUNGE(vyama vyote)  Naomba na nyinyi wabunge Kutuwakilisha kwenu Bungeni kusiwe ndio njia ya kutumika kutukandamiza niliongea na ZITTO na Mnyika kwenye Twitter , Walisema uchache wao bungeni ukafanya sheria hii ipite.Tunakiomba Chama ambacho kina wabunge wengi bungeni,kiwashauli wabunge wao sio kila kitu wasema Ndiyoooooooo,wajaribu kuangalia maslahi ya wananchi.

  Sheria imerudishwa bungeni,Tunaomba wabunge mtumie busara zenu ,kufanya marekebisho haya bila kuangalia itikadi za chama,au dini.SISI SOTE NI WATANZANIA.tuamue pamoja kwa maslahi ya taifa na watu wake


  AHSANTE

  regards

  Ndiyomkuusana.
   
 2. hovyohovyo

  hovyohovyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 8, 2012
  Messages: 540
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naunga mkono hoja yako mkuu. Achia Wabunge pembeni, inakuwaje mtendaji anayefahamu implications za sheria kama hii anakubali kupeleka jambo hili Bungeni??? Mijitu kama hii ndiyo shida kwa nchi hii. Eti unakuta jitu la namna hii linaenda na kanisani/msikitini-laana tupu.
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wow, this is a passionate message

  Najisikia vibaya sana huyu dada kaingia kwenye majitaka ya siasa za Tanzania, hakujua nchi haiendi kwa profeshenalizm pekee bali kwa siasa pia. kauli alitoa kama msimamizi wa sheria, lakini siasa zimemgeuza-geuza na kauli yake

  Iwapo sheria ile itapitishwa, Irene needs to resign, kwasababu kadhaa
  • Kukosa protection ya serikali, kwani lawama zote zimekua zikienda kwa Irene pekee as if alikaa chini na kuanza kuandika kila kitu mwenyewe
  • Wabunge waliopitisha sheria, ndio hao-hao wanarudi kinyume-nyume na kuvua makorokocho yao wenyewe
  • She has been attacked as an individual and not SSRA
  • She has been ill-advised to work as a PR officer wa SSRA as well
  • Ikiwa kama moja ya milestones yeye akiwa ofisini, imepokelewa vibaya sana.... she needs to realise thet SSRA is not for her
  • She may be naive and not understanding the country dynamics inapofikia kwenye maisha ya watu wa kawaida ambao wote/wengi wao ni maskini... yuko out of touch

  Lastly, akibaki ofisini, ni kama anajimaliza tu!
   
 4. Zinedine

  Zinedine JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,189
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja yako. Hapo kwenye red ni matokeo ya ombwe la ki-uongozi na ki-mamlaka tulio nalo Tanzania. Nadhani angelisema hv "Kwa kuwa sheria hii imetungwa na bunge,sisi kama mamlaka tuna jukumu la kuisimamia, hata hivyo kwa kuwa wabunge ndiwo wawakilishi wa wananchi ambao ndani yake ndimo kuna makundi yanayoilalamikia sheria hii,wao wabunge ndiyo wenye fina say ktk hili" Hii ni kauli vague ambayo isingelimgharimu kwa whatever outcome. Her statement indicates that she didn't use her professionalism to handle this matter rightly from the beggining rather, she has been directed by someone superb in the move, therefore she confidently believed that at any case, the law would never be changed. Hatari sana hii!
   
 5. D

  Determine JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 257
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nilipomsikiliza Radioni nikagundua ni muongeaji sana,utadhani ofisa masoko.huyu atakuwa mjinga sana na inafaa aajiliwe huko tigo km ofisa masoko
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Tangia nilivyomsikiliza clouds nikaona dhairi anatumika,yani hana hata strong point ya kwanin waliondoa fao la kujitoa? Eti oh wazee walilamika oh baba yangu na baba mkwe wangu hawana pension yani full bull_ish!! Irene rudi stanbic ukafanye kazi huko ulipoingia umepotea!! Utasemaje kwamba kama 90% umeshindwa kuifanyia maendeleo je hyo 10% itakusaidia nini? Hapo ndio nikaamini hata hyo Phd uliyopata ndio zile zile za mezani.
   
 7. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  anaumwa uleee ugonjwa wa vyeo vya chupi....so chochote anacholetewa anfikiria alivyovua hiyo kitu basi ashirikishi ubongo...
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kabisa hatufai maana hashirikishi ubongo kwenye maamuzi.....
   
 9. Mzee Msemakweli

  Mzee Msemakweli Senior Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 159
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Haya ndo madhara ya kupewa kazi kwa kigezo cha NGONO kwanza UJUZI nyuma. Eti Wanawake wanaweza wakiwezeshwa.
   
 10. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  hako kaugonjwa kanawagusa wengi sana!
   
 11. TabletFellow

  TabletFellow JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una ushahidi?
   
 12. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Hiyo kauli hapo kwenye RED inanifanya nimfkirie huyu m-mama, atakuwa na mdomo uilio betuka hivi halafu inaonekana ana kiburi sana, hajali, mwepesi wa kupanik na nadhani kazoea kusutana kimipashomipasho hivi kama kwenye rusha roho na ana lugha za mikato.

  Ila kwa taarifa yake tu ajue kuwa hiyo sheria inatuhusu sisi huku makazini, na lazima patachimbika mpaka hii sheria waibadilshe. sheria ni lazima iwe kwa maslahi ya wengi bhana, mambo ya kujiamulia tu mnavyotaka kisa eti nyie ni mabosi muyaache. hivyo vyeo vyenu ni vya muda tu. ndo maana ccm mmepoteza mvuto sababu ya kuendekeza vyeo badala ya matakwa ya wananchi utadhani nyie mlipigwa mihuri ya vyeo kwenye matumbo ya mama zenu kabla hamjazaliwa. eti "hata kama mtalalamika sheria hii haitabadilishwa,kinachosubiliwa ni miongozo". nakuambia LAZIMA IBADILISHWE
   
 13. J

  Jibaba Bonge JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: May 6, 2008
  Messages: 1,224
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Does she possess any professionalism by the way? I'm worried it might be only on her certificates and not upstairs!
   
Loading...