sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Nimetazama taarifa ya habari leo kupitia chanel ten, pamoja na mambo mengine, nimevutiwa na habari ya Kigoma eneo la Mwandiga..
Habari yenyewe ni particularly kuhusu soko la Mwandiga ambalo linahudumia vijiji sita na wakazi zaidi ya 20,000.. Cha ajabu, soko halina choo hata kimoja. Watu wanajihudumia kwenye vibanda vya biashara, na wafanyabiashara wanalalamika sana mbunge wao kuwatelekeza, vibanda vimechoka mno..
Habari hii kwangu na kwa baadhi ya watu ni sensitive kutokana na umaarufu wa mbunge wa huko na nguvu yake ya ushawishi kwa sponsors.. ukikumbuka aliwahi kuanzisha utaratibu wa kuwakopesha vijana pesa, ambazo alidai kupewa na wafadhili wa nje..
Ndugu Zitto Zuberi Kabwe, kwa heshma na taadhima naomba uwakumbuke ndugu zako na wapiga kura wako wa Mwandiga..
Acha kuzunguka kila kona 'kujisafisha'.. Wewe ni mbunge wa Kigoma Kaskazini sio wa taifa. Hivyo saidia kwako kwanza ndio uje na kwangu!!
Naamini umenielewa!
Source: Chanel 10
am a free mind!