Elections 2010 OMBI KWA KIKWETE: Dr WILBROAD SLAA APATIWE ULINZI WA UHAKIKA

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Tunamuomba Rais wa Tanzania aliyeko madarakani ampatie Mh Dr W.Slaa ulinzi wa uhakika kutokana na nafasi anayogombea na ukizingatia yuko kwenye hali ya hatari kuliko wakati mwingine wowote.
Hili ni Ombi tuu na wala si lazima.Nimejihisi kuwa Dr Slaa anaweza kupata matatizo kama aliyopata Rais wetu Kikwete kule mwanza kuvamiwa jukwaani na kwingine kutupiwa mawe.
Dr Wilbroad Slaa ni mpambanaji aliyejitolea maisha yake kuhakikisha analeta mabadiliko ya kisiasa hapa Tanzania.Hata rais Kikwete anajua haya.Kwa hiyo nashauri apatiwe usafiri na ulinzi wa kimataifa unaoendana na wakati ikiwa ni pamoja na Bullet proof Tshirt.
 
na wagombea wengine wa urais itakuwaje, tuache ubaguzi
 
Big up Mbalinga! Umenikuna kwa hiki kibwagizo

"Penda mabadiliko yaletayo maendeleo,usipende ushabiki udidimizao maendeleo".

Mungu ibariki Tanzania!
 
Nchi hii kuna wapinzani wa upinzani.
Wanadhani wamezaliwa wao kuitawala nchi ilhali hawana karisma hiyo
 
Labda niwaeleweshe tu sheria, ulinzi atapatiwa na siyo ombi kwa Kikwete. Mara tume ya Uchaguzi itakapomtambua kama ni mgombea wa kiti cha Urais Augusti 19 ile, pale pale atapatiwa ulinzi wa bure na serikali kama itakavyokuwa kwa wagombea wengine wa kiti cha Urais. La maana ni jinsi gani Chadema nayo itahakikisha ina coordinate ulinzi wao na ule wa serikali. So worry not. Sasa hivi ni jukumu la Chadema kumpatia ulinzi lakini ikifika August 19 serikali itampatia ulinzi naamini hadi his primary home.
 
Back
Top Bottom