APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Jana ilitolewa taarifa ikisema BOT, imeshusha riba kwa Mabenki kutoka 7% hadi 5%. Ili Mabenki yaweze kushusha riba kwa Wateja wake ambao ni wafanya biashara, wakulima na watumishi.
Kimsingi ni jambo jema lakini ikumbukwe kuwa mabenki yamewaachia wateja wao ghrama zote za uendeshaji wateja ambao kimsingi ndiyo watumiaji wa mwisho end user.Hadi ninavyoandika hapa mabenki yanatoza riba ya 17-18%, mtu akienda kukopa benki mara processing fee ya mkopo mara bima ya mkopo sasa kwa khali hii mwisho wa siku mkopaji hanufaiki na huo mkopo maana anarejesha fedha nyingi zaidi.
BOT watoe barua ya muongozo inayoonyesha wakopaji wakope kwa riba kiasi gani? yaani ipunguzwe kutoka 17-18%
Ikiwezekana BOT iendelee kutoa fedha kwenye halmashauri kama ilivyofanya mwezi wa nne 2020 na iongeze kiwabgo cha fedha inachokituma kisha kuwatoza asilimia dogo zaidi walao.7% wakati huu wa COVID-19 Crisis.