Elections 2010 Ombi! Kamanda Ngongo Muombe Radhi Mh Lema (Mb)

Albedo

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
5,559
1,452
Kamanda Ngongo leo umefanya kitu ambacho kama kwa Bahati Mbaya Batilda angetangazwa Mshindi basi Roho ya Mh Lema (Mb) ingekuwa kwenye Hatari sana

Fitna Uliyomzushia Ng Lema kwamba Ameuza Ubunge Ilikuwa ni Mbaya sana kwa maana ungeweza kuchochea Chuki kwa wana Chadema juu ya Mbunge wao bw Lema, Kwa Kweli hii ni Dhambi sawa sawa na Kuua

Najua Humpendi bwana Lema kiasi cha Kutuaminisha kwa eti bw Lymo wa TLP angeweza kushinda

Naomba Ufanye Uungwana na Kumuomba Radhi bw Lema hasa kwa Tuhuma Ulizompa leo Ambazo zilianza kupandikiza hata Chuki kwa wana JF Wapenda maendeleo na Mabadiliko
 
Ngongo kama uko civilized kweli fuata ushauri uombe msamaha manake watu walikuonya kuhusu hiyo fitna juu ya Lema...
 
Kwa kweli ile dhana ya kwamba lema ameuza jimbo ingeweza kumletea mauti yake
 
Back
Top Bottom