Ombi: Changia Wahanga wa Tetemeko!

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,108
5,623
Wakuu,
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Imeandaa Akaunti Maalumu ya Kuwachangia Wapendwa Wetu Waliokutwa na Baa la Tetemeko!
Ili Kuwapunguzia Adha ya Kulala Nje na Mahitaji Mengine,Mablanketi na Maturubai Yanaitajika!
Akaunti Namba Hiyo ni:
3181200148
Benki:
NMB
NB:
For Infos,the Mods can contact the following people:
a)The Municipal Government Officials
b)Hon. Mayor Chief Karumuna,
c)Hon. Deputy Mayor Jimmy Karugendo!
Natanguliza Shukrani!
 
pesa zote wanazokusanya TRA matirioni yanaenda kufanya kazi gani,pesa za mifuko ya jamii wanajikopesha kwenye uchaguzi mpaka tunaambiwa hakuna fao la kujitoa,kama vipi waambie warudishe zile ndege pesa waje wasaidie walitoajasho lao kuzinunua...!!Hatutaki kufaidisha wanaccm kupitia matatizo ya watu
 
Mkuu,una haki ya kusema hayo!
Ila tuwachangie wahanga!
 
Acha kufanya masikhara kwenye vitu serious!
Masihara gani? kwa ufahamu wako unataka kuniambia hujui kuwa kwenye hii vitu hela zinaliwa na wajanja wachache na wahanga wanaambulia magwangala ya michango yetu?
Halafu kuna mfuko wa maafa, unafanya nini?
Hebu kuwa serious kidogo na uache kujichatua
 
kama account ya Mbugne Lwakatare hapo sawa au account ya muhanga mwenyewe ila sio kupitai halmashauri au sijui kwamtendaji gani waserikali ya ccm
Hio akaunti iko chini ya Halmashauri ya Manispaa inayoongozwa na CHADEMA,Mkuu!
Hii akaunti nimeiweka hapa kwa baraka za Naibu Meya Jimmy Karugendo!
Wala CCM Unaowahofia Hawahusiki Nao!
 
Wangetoa Udhibitisho. Walau wandike barua yenye muhuri walete hapa tuchange.
Istoshe kuna vitu vinaudhi sana nchi hii kwanini serikali isiwajali watu wake lkni?
 
Siwezi kuchangia hata shiringi moja,pesa yangu Kama haina kazi Ni bora nikanywe pombe,serikali inakuasanya mapato Na kila mwezi wanatangaza sasa unashindwaje kuwahudumia raia wake?au kodi zetu Ni za kuwa saidia wanyarwanda?mbna pesa za kujaza mafuta kwenye magari Yao waliyokuwa wanafanyia mazoezi walikuwa nazo?kwakuwa raia wana shida pesa tuchangishwe sisi!uo Ni upuuzi.
 
Masihara gani? kwa ufahamu wako unataka kuniambia hujui kuwa kwenye hii vitu hela zinaliwa na wajanja wachache na wahanga wanaambulia magwangala ya michango yetu?
Halafu kuna mfuko wa maafa, unafanya nini?
Hebu kuwa serious kidogo na uache kujichatua
Mkuu,kuna uzi umepandishwa umu jf,muda mfupi uliopita ukimnukuu Mbunge Lwakatare kuwa hadi sasa si Serikali Kuu wala Taasisi Iliyokwisha Wachangia Wahanga!
 
Wangetoa Udhibitisho. Walau wandike barua yenye muhuri walete hapa tuchange.
Istoshe kuna vitu vinaudhi sana nchi hii kwanini serikali isiwajali watu wake lkni?
Nimeweka Hapo Juu Majina ya Wahusika,na Kuthibitisha ni Kazi Mods!kama una muda ebu mtag Mod. Alie Online Kwa Sasa!
 
Wakuu,
Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Imeandaa Akaunti Maalumu ya Kuwachangia Wapendwa Wetu Waliokutwa na Baa la Tetemeko!
Ili Kuwapunguzia Adha ya Kulala Nje na Mahitaji Mengine,Mablanketi na Maturubai Yanaitajika!
Akaunti Namba Hiyo ni:
3181200148
Benki:
NMB
NB:
For Infos,the Mods can contact the following people:
a)The Municipal Government Officials
b)Hon. Mayor Chief Karumuna,
c)Hon. Deputy Mayor Jimmy Karugendo!
Natanguliza Shukrani!
NANI KATOA KIBALI? KIKAO CHA MADIWANI KIMEFANYIKA LINI???? WAPIGAJI WENGI WA ESCROW WAHAYA

SERIKALI ITAKE RESPONSIBILITY KWA HILI

WANA RUHUSA YA CHADEMA HQ???????????????????????????
 
Siwezi kuchangia hata shiringi moja,pesa yangu Kama haina kazi Ni bora nikanywe pombe,serikali inakuasanya mapato Na kila mwezi wanatangaza sasa unashindwaje kuwahudumia raia wake?au kodi zetu Ni za kuwa saidia wanyarwanda?mbna pesa za kujaza mafuta kwenye magari Yao waliyokuwa wanafanyia mazoezi walikuwa nazo?kwakuwa raia wana shida pesa tuchangishwe sisi!uo Ni upuuzi.
Mkuu,ebu soma hapa chini!
Lwakatare: Serikali bado haijatoa msaada wowote kwa wahanga wa tetemeko Bukoba
 
Back
Top Bottom