Ombi binafsi: Hospitali za India zingeletwa nchini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi binafsi: Hospitali za India zingeletwa nchini

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ulimakafu, Oct 30, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 280
  Wakuu wetu wengi wamekuwa wakikabiliwa na maradhi mbalimbali na kupelekwa India kwa matibabu zaidi baada ya hospitali zetu za hapa nchini kushindwa.Wapo wengi toka siku za nyuma na mpaka hivi karibuni wamepelekwa akina Prof Mwandosya,Dr Mwakyembe,Chami ,Zitto Kabwe na wengineo.Ingekuwa vizuri huduma hiyo ikaletwa nchini kuepukana na huo usumbufu na gharama lukuki.Ni wazo tu.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,034
  Likes Received: 747
  Trophy Points: 280
  Na mh. msaafu mmoja nimesikia anapelekwa.
   
Loading...