Ombi: Ajira TANESCO zipitie Public Sec. Recruitmnent, wengi wameingia kwa kubebwa

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
823
1,335
Mfumo wa kuajiri watumuishi katika shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni mbovu, usiofuata misingi wala utaratibu maalum. Tanesco kupewa uwezo wa kuajiri wenyewe imekuwa shida kwao kwani watu wengi wameajiriwa kwa mashinikizo ya wakubwa katika shirika. Naomba serikali ipeleke ajira zote za TANESCO Katika sekretarieti ya ajira ya Taifa. Unakuta shirika linaajiri watu ili kufanya kazi flani lakini hawana uwezo hasa katika kazi za kiufundi.

Taarifa zinasema huko mokoani ndo uozo umejaa, kwani unaweza kukuta meneja ameajiri familia yake nzima na ni watumishi wa eneo husika , jambo kama hili linapunguza ufanisi wa kazi.

Pia promotion za TANESCO Nyingi zimekuwa ni za kujuana, unakuta mtu ana masters , ana PHD lakini hapandi cheo. Matokeo yake mameneja wengi hasa wa mikoani na wilayani wana elimu ya diploma tu, Serikali iangalie sana suala hili, kwani linaleta kuvunjana moyo mtu ana mdegree, masters na ni mtendaji mzuri, inakuaje mtu mwenye elimu ya diploma ndo apewe umeneja. Mambo ya TANESCO ni ya ajabu sana.
 
Uozo wa namna hii upo kwenye public/ government institutions nyingi.

Nenda kila mahali kupo ivyo ivyo

Undugu, ukanda, ukabila, udini kwenye ajira ni janga kubwa.
 
Hao ni wa kutumbuliwa, ila hata mimi namjua kiongozi mmoja watoto wake wawili wapo hapo tanesco na yeye yupo hapo hapo, family business
 
Hata walimu watoto wapo wengi ni walimu mfano yule Dr alieyopo nccr
 
Mfumo wa kuajiri watumuishi katika shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni mbovu , usiofuata misingi wala utaratibu maalum. Tanesco kupewa uwezo wa kuajiri wenyewe imekuwa shida kwao kwani watu wengi wameajiriwa kwa mashinikizo ya wakubwa katika shirika. Naomba serikali ipeleke ajira zote za TANESCO Katika sekretarieti ya ajira ya Taifa. Unakuta shirika linaajiri watu ili kufanya kazi flani lakini hawana uwezo hasa katika kazi za kiufundi.

Taarifa zinasema huko mokoani ndo uozo umejaa, kwani unaweza kukuta meneja ameajiri familia yake nzima na ni watumishi wa eneo husika , jambo kama hili linapunguza ufanisi wa kazi.

Pia promotion za TANESCO Nyingi zimekuwa ni za kujuana, unakuta mtu ana masters , ana PHD lakini hapandi cheo. Matokeo yake mameneja wengi hasa wa mikoani na wilayani wana elimu ya diploma tu, Serikali iangalie sana suala hili, kwani linaleta kuvunjana moyo mtu ana mdegree, masters na ni mtendaji mzuri, inakuaje mtu mwenye elimu ya diploma ndo apewe umeneja. Mabo ya TANESCO ni ya ajabu sana.
Japani shirika la umeme ni la kurithishana yaana familia ndio zinazohusika, ili kuwa na udhalendo na moyo maana ktk usalama wa nchi shirika la umeme linahusika sana ni hatari kuwepo mamluki.

Swali kwako,

Mfano ww ndiyo meneja mwanao anasifa ktk nafasi ambayo inahitaji mtu aajiliwe utamwacha hlf umwajili mtu mwingine?

Acha utanzania wakiwaki
 
Tanesco wakitangaza ajira,ukienda unaambiwa nafasi zimeshajaa wakati ata 48 hrs haijaisha tokea watangaze.. ! Sadly
Ni kujuana mwanzo mwisho..ushaidi uko wazi kwa wenye macho
 
Inaonekana ulifeli interview za tanesco ww
 
Japani shirika la umeme ni la kurithishana yaana familia ndio zinazohusika, ili kuwa na udhalendo na moyo maana ktk usalama wa nchi shirika la umeme linahusika sana ni hatari kuwepo mamluki.

Swali kwako,

Mfano ww ndiyo meneja mwanao anasifa ktk nafasi ambayo inahitaji mtu aajiliwe utamwacha hlf umwajili mtu mwingine?

Acha utanzania wakiwaki
Hii "wakiwaki" ni kiswahili au?
 
Tanesco wakitangaza ajira,ukienda unaambiwa nafasi zimeshajaa wakati ata 48 hrs haijaisha tokea watangaze.. ! Sadly
Ni kujuana mwanzo mwisho..ushaidi uko wazi kwa wenye macho
Hamna uhalisia ktk kauli yako maana popoye kazi ikitangazwa wt wanafanya interview na kuna deadline za application hw cmes ww hnae da kuulizia wakat zimetangazwa badala ya kutuma maombi na kusubiki interview inamana wanatangaza na in 48 hrs washaajiri hmn shirika la umma la nmn hy ht km ingekuwa kubebana.
 
Si bora Tanesco wana aibu kidogo nenda Tanapa ukutane na kina akoonai walivyojaa kila kona,

Hii ndiyo Tanzania bhana kuna mengine ukifikiria sana utajajinyonga bure!!
 
Mfumo wa kuajiri watumuishi katika shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni mbovu , usiofuata misingi wala utaratibu maalum. Tanesco kupewa uwezo wa kuajiri wenyewe imekuwa shida kwao kwani watu wengi wameajiriwa kwa mashinikizo ya wakubwa katika shirika. Naomba serikali ipeleke ajira zote za TANESCO Katika sekretarieti ya ajira ya Taifa. Unakuta shirika linaajiri watu ili kufanya kazi flani lakini hawana uwezo hasa katika kazi za kiufundi.

Taarifa zinasema huko mokoani ndo uozo umejaa, kwani unaweza kukuta meneja ameajiri familia yake nzima na ni watumishi wa eneo husika , jambo kama hili linapunguza ufanisi wa kazi.

Pia promotion za TANESCO Nyingi zimekuwa ni za kujuana, unakuta mtu ana masters , ana PHD lakini hapandi cheo. Matokeo yake mameneja wengi hasa wa mikoani na wilayani wana elimu ya diploma tu, Serikali iangalie sana suala hili, kwani linaleta kuvunjana moyo mtu ana mdegree, masters na ni mtendaji mzuri, inakuaje mtu mwenye elimu ya diploma ndo apewe umeneja. Mabo ya TANESCO ni ya ajabu sana.

Sekretariate ya ajira ndio imeoza vibaya sana
 
Weka vivid examples kusupport argument yako
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom