Ombeen sana waume zenu wakiaga usiku kwenda kuangalia mpira???

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wengi wao huishia mpira wa kitanda

hi nakupa tu wewe ka mwanamke mwenye nguvu MUNGU anaskia maombi yako wanapoaga waombeni sana mana hata uko hawazidi kamoja na akirudi anakupa viwili utoamini ametoka kwa vichenchedE

uefa hzi MUNGU atutie nguvu sana nimeaga hme nakutana namtu rgarden kuangalia mphra mkewe anapga umemwona najibu CJAFka kumbe namsubiri mara anapga aice utanipa matokeo niko cnza na kichenched

loh na simu ya shem nicpoke loh
 
kuandika kwenyewe hujui kazi majungu,kayi majungu mwanaume wewe kama binti tukufuate wewe utoe ndogo shwain
 
Hoja nzito sana...mtu hata kama ana uwezo wa kujiwekea superspot nyumbani kwake anakuwa hataki, ili apate visingizio vya kutoka nyumbani....!
Habari ya mwandiko wa Pdidy ni kongwe, wazoefu wa humu wala hatushangai.
 
Last edited by a moderator:
Sote tunakubali kwamba nyumba ndogo kuna raha. nyumba kubwa wanajisahau sana mpaka inakua no ladha. it is like reading a detective novel a hundred times.
 
Na bado inakuja funga kazi,Kombe la Dunia Brazil mpira utakuwa unaanza kuanzia 7 usikiu mpaka alfajiri hapo ndipo watakoma,tutakuwa tunabeba na mashuka na nguo zetu kabisa za kazini ikifika asubuhi unaunganisha kazini mazima hakuna kurudi home,kudadadeeeeki...
 
nachungulia xscore matokeo nikirudi mpira ulikuwaje?man kapigwa mbili bila wameniuzi sana ngoja nilale tu,huyu moyes hovyo kabisa bora aondoke zake,kumbe umeishamalizana na mwajuma nipe
 
Labda ungesema pia wanaume wengine wanapaki magari nje ya bar walisosema hm wanaenda. Kumbe wao wanaondoka na taxi au kuja kuchukuliwa.

Mke anataka kuchunguza anapita anaona gari hilo kumbe mmoja wa walinzi analinda gari na wakati huo mume yupo kwa kimada wake.

Dawa ya hii ni mtu unapita na kama weye ni wa wivu 100% kuliko uugue kwa kugesi basi bora uingie au mpigie mwambie atoke nje na ujumbe wowote wa kuntoa. Kama niodee msosi huu au huu mie nitakaa kwenye gari ukiniletea takeaway yangu nitakupa na pesa ya kulipia na mengine mengi

Dawa nyingine wakati wa mpira usilalamike eti wataka angalia vipindi vyako etc. (Hata kama boksi lako halirekodi) vingi urudiwa. Changamsha genge nae shangilia timu ingiine. Kama nawe wapenda mpira hapo bravo. Marafiki wakitaka kuja hm kwenu kuangalia bravo, huna haja ya kuwapa pombe kila wajapo hata maji yanatosha.

Kama halipiii kupata kuangalia mpira weye lipia, kama hamna home basi nunua weka esp kwa wanawake wenye pesa ya ziada kila mwezi. Hii imesaidia wengi kupunguza mawazo hata kama anaibia nje ila weye unakuwa umepunguza mengi na wengi ubadilika mwenendo. Uongo unaishaga hadi nao uchoka, so inabaki ile ya kuwa muda ukitokea eeeh hata karound ka dk 2, kupumzika hakuna etc. Uroda uisha na mume utafakari hapo ni kama kweli anapenda ndoa yake na mkewe, mwanamke utajua tu.
 
Wengi wao huishia mpira wa kitanda

hi nakupa tu wewe ka mwanamke mwenye nguvu MUNGU anaskia maombi yako wanapoaga waombeni sana mana hata uko hawazidi kamoja na akirudi anakupa viwili utoamini ametoka kwa vichenchedE

uefa hzi MUNGU atutie nguvu sana nimeaga hme nakutana namtu rgarden kuangalia mphra mkewe anapga umemwona najibu CJAFka kumbe namsubiri mara anapga aice utanipa matokeo niko cnza na kichenched

loh na simu ya shem nicpoke loh

Kuwa Objective na Acha Kuwa Subjective na Unaweza Ukafanya Watu Humu Tukawa na Ulakini na Uwezo Wako wa Kuelewa na Uchambuzi. Hivi Hakuna Akina Dada Ambao Wanapenda Sana Kuangalia Mpira Na Kila Kukicha Huwa Tunajumuika Nao ktk Hivi Vibanda Umiza Vyetu? Je Na Wao Wakiwaaga Wanaume Zao Tuamini Kwamba Wanakwenda KUGEGEDWA? Ulipashwa Kuwa Just Otherwise Ni Kama Vile Una Justify na Kufanya Fallacy of Generalization Kwamba Sisi Madume Ya Mbegu Wengi Wetu ni Vicheche na Wahuni. Hoja Yako Nimeipenda Ila Kuna Sehemu Fulani tu Kwa Mtazamo Wangu Hujaiweka Vizuri.
 
Na bado inakuja funga kazi,Kombe la Dunia Brazil mpira utakuwa unaanza kuanzia 7 usikiu mpaka alfajiri hapo ndipo watakoma,tutakuwa tunabeba na mashuka na nguo zetu kabisa za kazini ikifika asubuhi unaunganisha kazini mazima hakuna kurudi home,kudadadeeeeki...

mwanaume -------- huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Na bado inakuja funga kazi,Kombe la Dunia Brazil mpira utakuwa unaanza kuanzia 7 usikiu mpaka alfajiri hapo ndipo watakoma,tutakuwa tunabeba na mashuka na nguo zetu kabisa za kazini ikifika asubuhi unaunganisha kazini mazima hakuna kurudi home,kudadadeeeeki...

Hhahahhahahaa!!!!!u made my day ila kwa style hiyo Wallah!!!tutaongozona wote kila mahali kama option ya kuweka dstv nyumbani itashindikana..!!
 
Back
Top Bottom