Ombea mwanao kabla hujaanza kumlalamikia.ili aweze kushinda vita

babalao

Forum Spammer
Mar 11, 2006
427
0
OMBEA MWANAO KABLA HUJAANZA KUMLALAMIKIA.
YANAKUJA AFRIKA KWA NGUVU USALAMA WETU UKO KWA MUNGU NA MAOMBI
> WENGI WANAYAKUMBATIA HASA VIJANA WA
> KIAFRIKA WAKIONA WATU KUTO ULAYA NA MERIKANI ,WENGI WAO UVUTIWA WAKIDHANI KUWA NIMAZURI KUMBE NI UARIBIFU NA KUKOSA MAADILI .
> WENZETU MAJUU MTOTO AONYWI WALA UWEZI KUMGOMBEZA HATA KAMA
> KAFANYA VIBAYA, WEWE MBEBELEZE TU USIFANYE MTOTO AKASIRIKE, AKIKASIRIKA ATAPIGA SIMU 911
> UTAPELEKWA POLICE NA UTAKUWA NA HATIA .YA
> 1, KUNYANG'ANYWA MTOTO
> 2. KUFUNGWA
> 3.KUWA CHINI YA KARIPIO NA KUFATILIWA
> UHURU KUPITA KIASI PIA NISHIDA, KUWA NA MIPAKA NI MUHIMU
> SANA, NA KUWEPO NA SHERIA NDANI YA JAMII PIA
> INASAIDIA,,TAMADUNI ZA KIAFRIKA NYINGI BADO ZINAENDANA NA
> BIBLIA ,ZINATUSAIDIA KUWA NA HESHIMA NA ADABU KTK FAMILIA,
> MAKANISANI, MASHULENI, KTK KOO NA JAMII.MBALIMBALI TUNAMOISHI
> KWA UJUMLA YALE MABAYA YA MILA TUYAACHE LAKINI MAZURI TUYACHUKUWE YATUSAIDIE
> MAISHA YA MAGHARIBI MENGI SIO MAZURI
> WATOTO WANAKUWA BILA YA
> KUELEKEZWA NA WAZAZI HATA NA MWALIMU .MTOTO KUSIMAMA
> IKWENYE KITI ILI MKUBWA WAKE AKAE NI NUKSI AU NIKUMDHALALISHA
> MTOTO , HAKUNA ADABU
> WALA HESHIMA
> TUOMBE MUNGU ATUSAIDIE TUVUKE SALAMA NA WATOTO WETU WAVUKE
> SALAMA ,SIO KWA UWEZO WETU ILA KWA NGUVU ZA YEYE ALIE JUU
> WALA SHIDA HII HAKUNA KUJISIFU NI BALAA LINALOUIJIA ULIMWENGU
> MZIMA NI HATARI . HEBU SASA ANGALIA HAPO CHINI.TUOMBE MUNGU ATUVUSHE SALAMA.BILA YEYE HAKUNA MTU WAKUJIGAMBA KUWA YEYE NI DUME AU ANAWEZA KWA NGUVU ZAKE HAKUNA HATA MMOJA CHINI YA JUA
MBARIKIWE WOTE NA AMANI YA BWANA IWE NANYI.
TAZAMA CHINI
>
>
>
>
>Dears ! "I WILL NEVER COMPLAIN ABOUT MY KIDS AGAIN"
One Thousand more times than shown here
I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...
I will never complain about MY kids again
I will never complain about MY kids again ..

I will never complain about MY kids again . ..
I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...
I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ....I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...I will never complain about MY kids again .

I will never complain ab out MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...
I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...I will never complain abou t MY kids again .
I will never complain about MY kids a gain ...I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...

I will never complain about MY kids again .
I will never complain about MY kids again ...

I will never complain about MY kids again .

I will never complain about MY kids again ...

this to a parent!

Now have a great day!
and be glad
this is not your child!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom