Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,923
- 22,075
Wapendwa katika bwana
mkiwa kama watumishi wa mungu tuko duniani kwa ajili ya kuombeana na si kusaidiana tu
chukua ombi langu kaa dk 5 kuombea juba na brazaville
mapigano makali yanaendelea tunavyoongelea tuko na marafiki ndugu na jamaa wamejifungia
ndani toka asbh wengine wana matunda tu ndani akuna kutoka
na mbaya zaidi mapigano haya yanaelekea sehemu za aeroport'e so wakati wa kumwomba mungu ashushe rehema zake amani itawale
amina
ubarikiwe kwa maombi yako kwa wale wazito kuomba
sema bwana yesu naomba uwarehemu watu wa juba na brazaville uwasamehe dhambio zao zote
uwape amani ya milele ..mapigano yasiwepo tena milele
tunaomba nakushukuru
amen