Ombaomba:Wasitunyanyase, Magufuli atuletee chakula Dodoma

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,686
149,898
Ombaomba mmoja mwanamke ameongea kwa ukali na kujiamini kuhusu agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaama kuwataka kurudi makwao.

Mama huyo akihojiwa na Channel 10,ametoa kauli zifuatazo;

"Wasitunyanyase, sisi ndio tunawapigia kura; Magufuli atuletee chakula Dodoma;watupe nauli ya kurudi,tumekuja na magari ya kubebea ng'ombe;magari ya serikali si yapo;......."
 
Mwambie huyo ombax2 kwani wananchi wengine walio dodoma wao wanaishije?
 
Eti magari ya serikali siyapo waturudishe Dododma...Mimi siogopi video kwa mwambie Magufuli atuletee chakula Dodoma hatujaja hapa kwa kupenda ni shida zetu zilizo tuleta..Ukweli huyu mama kaongea kwa hisia kali.
 
Ombaomba mmoja mwanamke ameongea kwa ukali na kujiamini kuhusu agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaama kuwataka kurudi makwao.

Mama huyo akihojiwa na Channel 10,ametoa kauli zifuatazo;

"Wasitunyanyase, sisi ndio tunawapigia kura; Magufuli atuletee chakula Dodoma;watupe nauli ya kurudi,tumekuja na magari ya kubebea ng'ombe;......."
Daaaa hongera zake nyingi sana huyo mama kwa kuamua kutupa hali halisi, kumbe ccm dodoma ndio iliko zoa kura kibao?
 
Eti magari ya serikali siyapo waturudishe Dododma...Mimi siogopi video kwa mwambie Magufuli atuletee chakula Dodoma hatujaja hapa kwa kupenda ni shida zetu zilizo tuleta..Ukweli huyu mama kaongea kwa hisia kali.
Mama kaamua kama ni noma na iwe noma!
 
Back
Top Bottom