Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,809
- 34,193
HUYU OMBAOMBA ANA AKILI SANA
Duh! Haihitaji utafiki wa kisayansi. Jion akifunga hesabu anamajibu ya swali lake
IMan ya hao ''wenzetu'' ina taratibu za kuwasilisha shida na mataizo yako kwao, nenda kwa viongozi wao jielezee then utapewa kutokana na zaka za watoazo wafuasi wao kwenye nyumba zao za ibada. Sio kila mtu anapaswa kusaidiwa, wengine ni wzima kabisa ila huwa wanavunga kwamba wao ni vilema na ni ombaomba. Hongera wafuasi wa imani ya 'wenzetu''bakuli la wenzetu lina coin mbili tu.