Omba yasikupate,ila yakikupata utapata akili yakufanya

Biashara gani hiyo kwa kipindi hichi cha Magu ku-break even mapema hivyo!!!.....Hongera sana
mkuu nilichokifanya ni kutafuta wakala wa tigo pesa, M Pessa, Airel Money, Mashine ya Maz Malipo,Tigo Rusha Pamoja na vifaa vya umeme vichache kama vile socket, Taa, Extensio! kwa mfano Mpessa, Tigo inanipa faida ya 300- 5000, Tigo rusha 1400- 2600, nikiuza taa moja napata 1100, umeme 2000, ambapo minimum nafikisha laki 250,000 kwa mwezi nikitoa gharama za uendeshaji fremu 60,000,na umeme 15,000 pamoja na Malipo ya mshahara kwa mwezi ni 60,000 na chakula + nauli natoa 40,000 kwa mwezi ambapo jumla ya gharama za uendeshaji ni 175,000! nabali na 75,000!
kwa mwanzo sio mbaya wakuu
 
Ok.....Hongera jitahidi uongeze Customers mkuu
 
okay niekuelewa, lkn vijana wenye maono wanaendeleaje na maono yao juu yako ..

wanaendelea kunifariji na kunipa matumaini kwamba kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunzi...wamenipa wazo la mradi mwingine ila huo tutaufanya wa share maana ni wa gharama kubwa ...pia wameniambia watanisaidia kutafuta kazi kwenye NGO huku nami nikiendelea kutafuta ila sina haraka na kazi...yaani hawa vijana namshukuru Mungu kwa kuwafahamu maana sijui leo hii ningekuwa wapi ...
 
Back
Top Bottom