Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,840
- 7,916
Unaish kwa DadaHabari zenu
Kuna bidada alitaka kwenda Kariakoo akaniambia nibaki na mtoto wake,alisema angerudi jioni. Dogo kakua kidogo ila hajajua kuongea vizuri, anatembea fresh. Nilikubali bila kuyajua
Dogo nilimpa uji vizuri, badae nikatoka kwenda kununua vocha nikamuacha dogo akiwa amekaa kwenye sofa. Niliporudi nikamuona dogo akiwa kwenye varanda la mama mwenye nyumba. Kuchunguza vizuri dogo katapakaza mavi kwenye varanda.
Du! Ilbidi nizoe mavi kwa kinyaa. Nikamaliza nikadeki chapu kabla mwenye nyumba hajaja(ni mnoko sana angemumaindi mdada yule). Dogo nikaliosha adi makalioni kusafisha kinyesi.
Badae dogo nikampa uji tena, Kisha akalala, alipoamka nikacheki kakojolea sofa. Nikamaindi kitoto kikasepa nje, nikaona nikicheki kilipoelekea. Natoka nje tu mlangoni nakanyaga mavi dogo kadondosha nya nyingine. Du!! nilimaindi kichizi, nikasafisha kwa kinyongo sana
Sikuliosha dogo nikalikalisha nje mpaka mama ake aliporudi. Aiseee!! Sitorudiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.