Omba usiachiwe kitoto kidogo. Wamama kumbe wanasumbuka hivi?

Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
2,965
2,000
Habari zenu

Kuna bidada alitaka kwenda Kariakoo akaniambia nibaki na mtoto wake,alisema angerudi jioni. Dogo kakua kidogo ila hajajua kuongea vizuri, anatembea fresh. Nilikubali bila kuyajua

Dogo nilimpa uji vizuri, badae nikatoka kwenda kununua vocha nikamuacha dogo akiwa amekaa kwenye sofa. Niliporudi nikamuona dogo akiwa kwenye varanda la mama mwenye nyumba. Kuchunguza vizuri dogo katapakaza mavi kwenye varanda.

Du! Ilbidi nizoe mavi kwa kinyaa. Nikamaliza nikadeki chapu kabla mwenye nyumba hajaja(ni mnoko sana angemumaindi mdada yule). Dogo nikaliosha adi makalioni kusafisha kinyesi.

Badae dogo nikampa uji tena, Kisha akalala, alipoamka nikacheki kakojolea sofa. Nikamaindi kitoto kikasepa nje, nikaona nikicheki kilipoelekea. Natoka nje tu mlangoni nakanyaga mavi dogo kadondosha nya nyingine. Du!! nilimaindi kichizi, nikasafisha kwa kinyongo sana

Sikuliosha dogo nikalikalisha nje mpaka mama ake aliporudi. Aiseee!! Sitorudiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Unaish kwa Dada
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
9,795

Hukumjulia tu. Akina Mama au hata wewe ungekaa naye siku kadhaa, basi ungeshamjulia, usingemwacha mwenyewe, ungejua jinsi ya kumpeleka ajisaidie n.k.
 
JOHNGERVAS

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
306
500
Babake mtoto Yuko bar na wanawake zake wewe unaosha nnya ya mwanawe.......

Tafuta pesa uheshimike mjini. Unadhani ungekua mtu na kazi yako na pesa zako huyo mdada angethubutu kukuachia kazi ya u hausgel?

Ungekua na funguo zako tatu ( ya gari lako, ya nyumba yako na ya ofisi yako) ungetegemea ungepewa huo u hausgel wa muda?

Tafuta kazi bwashee unaweza kufanywa delicious hivi hivi.

Wanaanzaga taratibu kwa kukupima na mavi ya mtoto, baadae anakupa skin tight umfulie, baadae chupi.... Niambie utakua umebakiza Nini????
Daah
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,958
2,000
Watu wengine bhn. Jamaa kapanga. Na usikute siku hyo mpangaji mwenzake aliona jamaa yuko free siku ndio akamuachia mtoto. Tatizo mmekariri. Jamaa ukute ana mishe zake siku hiyo kawa off unamnanga mshikaji
Kama una pesa zako na heshma yako mtaani huwezi kuachiwa mtoto wakati mamake kaenda kusuka/au kwa chali yake.
Mwanamke kabla hajakupa kazi ya kijinga anaangalia uko level gani.
 
Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,958
2,000
Mwanamke akitaka kukudharau anaanza kwa kukupa kitu Kama wali wa jana.
Kisha anakupa vocha, Kisha anakutuma dukani halafu akakuambia keep change. Hatua inayofuata Ni kupewa nguo zake umsaidie kupiga pasi huku mnapiga stori. Ukishajiingiza kingi kwa kumkopa hela au kuomba chumvi ujue umeshaumia.
Mimi nimepanga sana lkn nilikua sicheki na mpangaji wa kike especially singo mazas.
Mwanamke akisha jua mu stand wako atakuheshimu Kama mkwe.
Ole wako ajue huna mu stand.
 
incredible terminator

JF-Expert Member
Aug 1, 2016
1,676
2,000
Habari zenu

Kuna bidada alitaka kwenda Kariakoo akaniambia nibaki na mtoto wake,alisema angerudi jioni. Dogo kakua kidogo ila hajajua kuongea vizuri, anatembea fresh. Nilikubali bila kuyajua

Dogo nilimpa uji vizuri, badae nikatoka kwenda kununua vocha nikamuacha dogo akiwa amekaa kwenye sofa. Niliporudi nikamuona dogo akiwa kwenye varanda la mama mwenye nyumba. Kuchunguza vizuri dogo katapakaza mavi kwenye varanda.

Du! Ilbidi nizoe mavi kwa kinyaa. Nikamaliza nikadeki chapu kabla mwenye nyumba hajaja(ni mnoko sana angemumaindi mdada yule). Dogo nikaliosha adi makalioni kusafisha kinyesi.

Badae dogo nikampa uji tena, Kisha akalala, alipoamka nikacheki kakojolea sofa. Nikamaindi kitoto kikasepa nje, nikaona nikicheki kilipoelekea. Natoka nje tu mlangoni nakanyaga mavi dogo kadondosha nya nyingine. Du!! nilimaindi kichizi, nikasafisha kwa kinyongo sana

Sikuliosha dogo nikalikalisha nje mpaka mama ake aliporudi. Aiseee!! Sitorudiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
hahahha mkuu tafta hela aseeh ikifikia hatua mwanaume unaombwa kuachiwa mtoto ili mama zao waende sokoni hiyo ni stage ya mwisho ya kufa kwa umasikini na ufukara kwa mwanaume yaani inawezekanaje mtu aniachie mtoto kwamba sina kazi au? hapo kama nipo hom ujue nipo clab napiga vyombo mama mtu atakuja akute mwanae keshanyweshwa nyagi *****
 
Apollo one spaceship

Senior Member
Jan 28, 2021
191

Nilikuwa free mkuu.
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
37,263
2,000
Vile dogo anafuatilia huu uzi wako😁😁😁
Qm24M.jpg
 
rwakitwe

Senior Member
Aug 16, 2016
136
250
Usiombe yakukute mimi nimeachiwa mtoto wa miez mitano mama ake kasafir kwasababu ya mahali alipoenda haruhusiwi kwenda na mtoto .mzee moto wake Nauona usku silali kakijigeuza tu nami nshastuka mara niamke usku kukapa maziwa mara kukabadikisha nguo kakijikojolea na kujisaidia mara kaamke saa Saba za usku kaanze kucheza ambapo na mimi inanilazima kuamka maana siwez kukaacha kacheze peke yake afu ikifika saa kumi na mbili kanalala mimi inabidi niamke kwenda kazini nijukuta mda wote nina usingiz niwapo kazini maana hii ni kila sku lazima kaamke saa Saba kulala saa kumi na mbili. Mara tumbo kiungurume usku kaanze mwendo wa kujigeuzageuza mara mafua mhh na hii ni mwendelezo maana mama yake atarudi baada ya miezi sita.ila kwasababu mimi ndo baba fresh inanilazimu kuvumilia ila moto Nauona Hadi Hadi suruali zangu nakaribia kuzipeleka kwa fundu azipunguze kwa jinsi ninavopungua
 
Hoo!!
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
40,981
2,000
Mama yake sio mstaarabu alitakiwa amvalishe pempas
Na kuacha mtoto kwa watu tena unaachia wanaume sio vyema kabisa dunia imeharibika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom