omba omba apata mkong'oto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

omba omba apata mkong'oto

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MziziMkavu, Aug 23, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280


  [​IMG]Mwanamama huyu anaefanya shughuli ya kuombaomba mitaani mkoani Arusha,leo ameipata fresh baada ya kutembezewa mkong'oto na kina mama wenzie wa mkoani hapo kwa madai kwamba anawadhalilisha kina mama hao kwani mwanamama huyu hala ulemavu wowote na anauwezo wa kufanya kazi na kuweza kujipatia kipato kitakachomkimu yeye pamoja na watoto wake.
  [​IMG]mmoja wa watoto wa mwanamama huyo akiwa kawekwa pembezoni mwa barabara wakati mama yake akiendelea na shughuli yake ya kuombaomba kabla ya kukutwa na kinamama wenzake waliomuangushia kichapo.
  [​IMG]alipoona kijiwe chake hicho kimeingia gundu,akaamua kuondoka kabisa sehemu hiyo huku akifauatwa na mtoto wake mmoja.

  Chanzo: MICHUZI
   
Loading...