Omba kusudi mungu la wewe kuoa/kuolewa na si just mke/mume utalia daima | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Omba kusudi mungu la wewe kuoa/kuolewa na si just mke/mume utalia daima

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Mar 10, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Yawezekana ni mmoja wa waliongia kwenye kitanzi cha maisha ya ndoa takatifuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
  yenye shida na raha ndani yake la hasha pole sana ..yawezekana na wewe nn mmoja wale walio kwenye search ingine ama ggogle za ndoa..du uko na tumaini pia

  Leo hii naomba niwajulishe wengi wanaishia kuumia kwenye ndoa sababu awajui sababu ya kuoa ama kuolewa..wengi tukiulizwa umeoa kwa nini..ooh nilimpenda sana alafu mweupe wewe umeambiwa kuna mweupe zaidi ya seru seru/mzungu

  oohhh ana figa nzuri nani kakwambia bana nenda utembee uone mungu alivyojituma kutengeneza figa za watu bahati mbaya ibilisi anazitumia kwa kutojua kusudio la Mungu

  OOHHHH nilimpenda sana ameokoka wewe kaka pole sana kuna wanwake wazuri wameokoka kuliko nkeo na wanatabia njema zaidi yake umewaacha embu tueleze nini umemfwata huyo umewaacha rose,merry,shao,nkwemanga,sara,,,

  Ukiwa naomba jua jinsi ya kuomba usiombe kama unajisaidia chooni ili mradi umalize haraka urudi kwenye computer..ndugu nakupa siri

  oooooombaa Kusudi la MUNGU kwenye Ndoa yakoo Mungu alitimize@@@@

  Wengi wao wameoan sababu ya elimu majumba ooh mama alimpenda baba akanletea wewe unalaana unaletewa mke na mamayako ...babako aliletewa...unajua kuachana kuna src nyingisana wengine wanaoa bila kufanya maping ..jifunze kufanya maping hata kama unakuta umeoa zigo kwenye familia..kuna jinsi ya kujivua..mnajikata kitovu cha ukoo wenu..mnaingia kwenye familia ya BWANA YESU mnakuwa huru mnaachana na laana za kisukari.tb,moyo.na magonjwa yoote ya misri...angalia vyema hata wazee wetu waliofariki na ngoma watoto wao ni moto wa kuotea mbali...awakamatiki kama BABU WA LOLIONDO

  so yawezekana nawe leo uko kwenye google search ya ndoa pole sana usijali wangapi wamekuacha kusudio la mungu alikuw juu yao nakupa somo moja nilimshauri kaka mmoja alielia kwa kuachika na mpenzie aliempenda
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  PILI INAONEKANA KUTOKA MAELEZO YAKO UNA ROHO YA KUACHIKA/KUKATIZWA..NI TOPIC NDEFU TWAWEZA ONGELEA MPKA AJION MWISHO NIKAANZA KUGUSIA MPAKA BABA NA MAMA NIKARUSI KWA BIBI NA BABU MPAKA WAJOMBA NA SHANGAZI KUPATA SRC..WENGI AWANA UFAHAMU WA HILI NDUGU

  NAMI NIMEKUJA KUKUSAIDIA KAMA UJAPATA MWINGINE UNAYO NAFASI YA KUWA NA FURAHA DAIMA..
  BINAFSI NIMEACHA NA KUACHIKA ZAIDI YA MARA 5..MWISHO NIKAAMUA KUOKOKA KUMJUA YESU NIKAPATA UFAHAMU WA KWAMBA NDOA SI LELEMAMA..NDOA INAITAJI UOMBE MKE MWEMA KUTOKA KWA BWANA YESU...KUWA MAKINI HATA KWENYE SALA SIO TU MKE MWEMA YUPI TAJA UNACHOTAKA KWAKE..KUNA TAPELI AAKAWA MKE MWEMA UNAJUA HILI

  SASA TUSIFUNGISHE NDOA WAKATI UJAOA..NDUGU OMBA MUNGU AKUPE MWENZA WAKO...USIOMBE TU JUST ILI MRADI UOE NDUGU WAKUONE WAKUFURAHIE WANYWE WALE WASHIBE KIPONDO UNAKIPATA WEWE WATU WAMESHAENDA CHOONI NA KUSAHASU....WENGI AWAJUI KWA NINI WANAITAJAI MCHUMBA KWENYE MAOMBI YAKO MWOMBE MUNGU AKUONYESHE KUSUDI LA KUTAKA MCHUMBA NA KUOA...YAWEZEKANA UMEOKOKA LEO HII NIKULIZA KWA NINI UMEOA AMA KUOLEWA WENGI MAJIBU TATA WENGINE

  NILIITAJI KUWA NA MTOTO ..NANI AMEKWAMBIA NJE YA NDOA AKUNA MTOTO

  --NILIITAJI MKE ALIEOKOKA ...NDUGU USIDANGANYIKE KWENYE MAKANISA YA LEO KUNA WAKE WAZURI KULIKO HUYO ULIE NAE WAMEOKOKA ZAIDI YAKE..LAKINI JIULIZE KILICHOKUFANYA UENDE KWA HUYO NINI NINI??

  NAPENDA KUKWAMBIA MUNGU ANA MAKUSUDI NA WEWE..HAYO ULIYOYAPITIA NI MAPITO TU KTK KUINGIA UKAMILIFU WA MAISHA YAKO..OMBA KUSUDI LA MUNGU LITENDEKE NA SIO JUST MSICHANA MZURI ANA MAKALIO MAZURI..OOH MWEUPE NANI KAKAWAMBIA KUNA WEUPE ZAIDI YA ZERUZERU NA WAZUNGU..HUYO WAKO ANAKUWA BLACCCCCCCCKIIIIIIII....TENGENEZA MAOMBI YA CHEN UKIWA UMEDHAMIRIA HILI KUOMBA NA KUFUNGA MWAMBIE MUNGU AKUONYESHE KUSUDI LAKE AKUPE YULE ALIE BORA .....

  DADAYANGU ALIWAHI KUTESEKA NA HILI NIKAMWAMBIA ATATIZO LETU TUNAOMBA JUST MUME ILI TUOLEWE AMA MKE TUOE OMBA MUNGU AKUPE MKE MWENNYE KUSUDIO LA PAMOJA...UNAJUA KWA NINI AKANIPA NAFASI NIMWOMBEE NIKASALI NA KUFUNGA NIKAMWAHABARISHA NAOMBA KUSUDIO LA MUNGU ILA UJUE MUNGU ANAWEZA PANGUA YULE ULIEONA ANAFAA KWAKO KWA NINI.....KUSUDI ALILOLIWEKA KWAKE JUU YAKO SIO LA MUNGU SO MWACHIE MUNGU ATENDE KAZI..AKIWA NA MIMI AKASE KUNA KAKA MMOJA ANAONEKAANA MPOLE MCHESHI..YAAN ANANIPENDA NKAMWAMBIA SIJALI AKUEPENDE AKUCHUKIE M NAOMBA MUNGU AKUPE MUME BORA MWENYE KUSUDI LAKE MEANS WEWE NA YEYE MUWEZE KWENDA PAMOJA KUTENDA MAPENZI YA MUNGU PAMOJA

  BAADA YA MWEZI AKANIFWATA KAKA YAANI SIJUI NINI YULE KAKA AMEAGA AMEPATA VISA YA MAREKANI NA AARUDI TENA TANZANIA LABDA NIMWFWATE,..NIMEKOSA NINI NKAMWAMBIA..NAMALIZA MAOMBI KESHO NJOO..NIKIWA NDOTONI NIKAONYESHWA WEWE UMEOMBA SHEMEJI MWENYE KUSDI LA MUNGU SO AWE MMAREKANI MHABESH MJITA.MCHAGA MMISRI MLIBYA AIJALISHI ANA KUSUDIO LA MUNGU NA DADAKO...ALIPOKUJA NIKAMWEELEZA AKASEMA NIMEMWACHIA MUNGU..NKAMWAMBIA UNAMWACHIA LEO MI NILISHALIPELEKA KWAKE NIKAKUHABARISHA HILI..LEO HII DADANGU YUKO SWEDEN AMEOLEWA NA MKENYA NA WATOTO 2 ANASOMEA PHD YAKE AKIMTUMIKIA MUNGU KWENYE KWAYA....MAREKANI IKAWA STORY YA MILELE

  SAME TO YOU USIKATE TAMAA NDUGU OMBA KUSDI LA MUNGU LIWE MBELE YAKO..YAWEZEKANA MUNGU AMEONA KUNA KITU ULICHONACHO WEWE AMBACHO AKIANGALIA KUSUDI LAKE NA HUYO ALIEONDOKA ANAONA NI DHALIMU NDIO MAANA AMEONDOKA

  BINAFSI MKE WANGU NI BINTI WA SITA NA KTKT WALIOCHANA NA MIMI 3NILIISHIA KUFANYA ENGAGEMENT NA KTKT HAO HATA NDUGU ZANGU HASA WA TATU AWAKUTAKA KUFIKA KABISA NA HATA HARUSI YANGU NILIPO PATA UFAHAMU KUMBE NDOA SI KUZAA WALA KUWA NA MWEUPE WALA MWEUZI BALI KUWA NA KUSUDI LA MUNGU LIFANYIKE TULIBARIKIWA SANA PAMOJA NA UCHACHE WAO

  MUNGU AKUBARIKI KWA MAONI ZAIDI
  denismandia@yahoo.com
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  PDiddy bana, ndo ushaanza na Makapera mapeema!
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Hao wote waliokuacha awakuwa na kusudio na mungu ..nini maanake .Mungu amekuwekea kitu fulani ili uweze kutumikia kusudio lake..sasa Mungu akionna huyo ulienao atoweza timiza kusudio lake bali kusudio lake n kukutamani ama kufanya mapenzi na kukuchezea ndugu MUNGU anawasha Moto aijalishi umekaa nae miaka **** na saba ama lah...
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Mkuu ok
  nimeona nianzishe loliondo ya makapera jamani huku atutoi hela macho yako tu unaona unachukua unayafanyia kazi
   
Loading...