Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

grand-mal

JF-Expert Member
Feb 22, 2013
337
176
Rais Jakaya Kikwete amenteua Omary Jumanne Salum kuwa mkurugenzi mpya wa SIDO.

Tahadhari:
Ameteua kwa kuzingatia uwezo wa mteuliwa na si sababu nyingine.
 
Mkuu tupe walau wasifu wake kidogo, alikua anafanya wapi amewahi kushika nyadhifa gani, elimu yake n.k. SIDO ni shirika muhimu sana kwa uchumi wa Tanzania lakini limeshindwa kufanya majukumu yake kama matakwa sheria ya kuanzisha shirika yalivyoanisha. So tungependa kufahamu umakini wa mdau aliyepewa shirika hilo.
 
Rais Jakaya Kikwete amenteua Omary Jumanne Salum kuwa mkurugenzi mpya wa SIDO.

Tahadhari:
Ameteua kwa kuzingatia uwezo wa mteuliwa na si sababu nyingine.
Certain religions are demonic, those belongs to demons and criminals are practicing it. Criminal religion can be a source of certain appointments.
 
Some trust in their war chariots and others in their horses but we will trust the power of the lord our God.They will plant but will not eat.they will marry but their wife will nurse your babies.So Be not Be Afraid
 
Dah Ole Saigarai ametoswa pamoja na kukaimu muda mrefu Ukurugenzi na uzoefu wake ndani ya Sido
 
Anaitwa Eng. Omari Jumanne Bakari na si (Salum)
Eng. Bakari ni Mtafiti mwandamizi katika tume ya Sayansi &Teknolojia Tanzania , kabla ya uteuzi .
 
Back
Top Bottom