Omary Jumanne Salum, mkurugenzi mpya wa SIDO

Bora afanye hvo maana mi galatia inadhani ndo ilosoma.hongera jk.wasubiri 2015 ndo wafanye watakavyo na MOU zao.viva jk viva waislam.kaskazini mtaisikia tu tz.
 
Tunaomba namba yake ya simu ili tumpe yule jamaa aliyesema anataka SIDO itengeneze mitambo ya gongo...
 
Bora afanye hvo maana mi galatia inadhani ndo ilosoma.hongera jk.wasubiri 2015 ndo wafanye watakavyo na MOU zao.viva jk viva waislam.kaskazini mtaisikia tu tz.

Someni kwa bidii sana ili muache kulalamika,elimu ya madrasat haiwezi kukuvusha hata mpaka wa burundi, Alafu msipende sana upendeleo na misaada! Hata oic mnayoitaka ni kwa ajili ya misaada si lingine... Jifunzeni kujitegemea.
 
Ndugu zangu tunapeleka wapi Taifa? Tunaacha agenda za kitaifa kama vita ya ufisadi tunazungumzia UDINI? Aaa hapana sasa tuendako siko.
 
Certain religions are demonic, those belongs to demons and criminals are practicing it. Criminal religion can be a source of certain appointments.

wewe unachuki dhidi ya Dini fulani, ni Hulka Mbaya inayopingwa vikali na kila mpenda amani.
 
kwi! kwi! kwi! kwi! hebu tuwekee basi huo uwezo wa huyo mteuliwa , kama kweli unaweza kutambua kabla hajafanya kazi , MNATAKA KUTULETEA UZUSHI HAPA !
 
Hajawahi kwenda lakini sasa hivi anapelekwa kwa mfumo maalumu wa ikulu. Maana ni wachache ambao hawajaenda. Kama kuna mkurugenzi ambayo hajaenda, nipe jina lake.
Sunday School sijui Lumumba, hata hueleweki... Wachina wanasema " Rangi ya paka siyo issue bali uhodari wake wa kukamata Panya" ...Tatizo la upogo wa dini ni kubwa linatugawa na linakera sana... TRA, BOT, TCRA, mbona hamsemi chochote ama ninyi wa imani ile ni haki yenu kupewa madaraka wengine ni marufuku? ....
 
Nime-like upofu wako.
Huyo aliyeteuliwa unamfahamu au umependa jina lake? hebu weka CV yake hapa, ili tuamini kweli kwamba yeye ni mkamata panya.
 
Hongera

Fanya kazi na ionekane imefanyika
Najungu hayatusaidia kuipeleka Sido mbele.
 
Back
Top Bottom