Omar al-Bashir asema atawapa funzo South Sudan kwa nguvu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Omar al-Bashir asema atawapa funzo South Sudan kwa nguvu!

Discussion in 'International Forum' started by Askari Kanzu, Apr 19, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Inaelekea hii vita haiepukiki!

  Sudan’s Bashir vows to teach Juba a ‘lesson by force’ over Heglig’s seizure


  Thursday, 19 April 2012
  [​IMG]
  Sudanese President Omar al-Bashir, shouting and gesticulating with a traditional staff, spoke on Thursday in the North Kordofan capital El Obeid to hundreds of freshly trained members of the paramilitary Popular Defense Force, a mainstay of Sudan’s fighting forces. (Reuters)


  By AFP
  KHARTOUM

  Sudanese President Omar al-Bashir on Thursday vowed to teach “a lesson by force” to the South Sudanese government over its seizure of the north’s main Heglig oil field.

  Keeping up the war rhetoric that has sparked expressions of concern from the United States, Bashir dismissed talk by the United Nations that sanctions might be imposed on South Sudan.

  “America will not invoke sanctions on them, and the (U.N.) Security Council will not, but the Sudanese people are going to punish them,” declared Bashir, who holds the rank of field marshal and wore desert camouflage and a beret to address a rally of paramilitary troops.

  On the battlefield, the Southern army repulsed ground attacks in recent hours in a widening conflict zone along the border, said the South’s military spokesman Philip Aguer.

  Ground assaults and air strikes were reported in the Heglig region, as well as the three Southern states of Unity, Western and Northern Bahr al-Ghazal, he said, adding that the Southern army was “still in its positions.”

  Sudan has vowed to reclaim Heglig “by hook or crook.”

  AFP reporters who have visited the Heglig battle zone along the disputed border say dead bodies and destroyed tanks are strewn around.

  Southern troops are entrenched in positions around the area.

  On Tuesday the U.N. Security Council discussed possible sanctions against both Sudan and South Sudan in a bid to halt a wider war after the fighting broke out on April 10.

  Clashes escalated last week with waves of air strikes hitting the South, and Juba’s seizure of the Heglig oil hub, which dealt a huge blow to Khartoum’s already faltering economy.

  “We will teach them a lesson by force,” Bashir said of the South Sudanese government. “Heglig is not the end. It is the beginning.”

  Full story (Al Arabiya)
   
 2. HT

  HT JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I guess Bashir is in for a shock. not many will agree but that is my little guess!
   
 3. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Your guess is right.
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ni afadhali wajaribu kutafatua usuluhisho. Hivi vita havitawasaidia, si Sudan wala sio South Sudan. They all stand to lose.
   
 5. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  TBC1 wamesema Bashir anataka kuirudisha Sudani kusini katika himaya Sudan kwa nguvu. Nadhani hapa anatafuta kipigo kama kile "the Late" Saddam alichokipata baada ya kuivamia Kuwait.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Hawakutegemea kama jamaa watateka kisima ambacho ni muhimu kwa ajiri ya mafuta yanayouzwa na Northern Sudan. Sasa mtu akikata mrija wako wa kupata msosi what would be the reaction? But its a dodgy situation in the sense that they could either take Juba or Khartoum could also be taken away from him by Southerners. Hii ni vita ambayo akiifanyia masihara itamrudi kuliko anavyofikiri. He is needed to the Heigue.
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,221
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama alishindwa kuwatandika wakiwa waasi, ni ngumu zaidi sasa kuwatandika wakiwa ni nchi yenye serikali yake halali, na ushirikiano halali wa kimataifa.
   
 8. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  south wame vamia eneo sio lao...na north wametaka waondoke, na hawataki hivyo kama bashir anao ubavu achukue chake hii ni haki yao.
  makosa yalishafanywa tangia mwanzo na south kutaka independence, bora wangeomba federation lakini ndio hivo tena divide and rule ya wazungu na sisi bila wazungu hatujambi.
  tuachane na hayo lakini mie nashanga sana jamaa wa Kenya wamepigia debe sana south sudan wajiunge na EAC hapa kwa maslahi yao ya kuichumi, hawa jamaaa hawajatulia bado wapo katika state ya vita lakini wakenya walipiga kampeni mpaka wamepata observer status katika jumuia EAC.
  SISI tumepiga usingizi, kama ni kupanua wigo wa jumuia basi malawi inazo sifa zote, kwanza wanaongea ENGLISH na kiswahili cha hapa na pale (hawa south sudan wanaongea sana kilugha na zaidi KIARABU)
  WABUNGE WETU HAWA WA EAC WACHUNGE SANA KUKARIBISHA MEMBA WAPYA KATIKA JUMUIA.
  WASOME HISTORY YA JUMUIYA YA ULAYA NA MATATIZO WALIYOPATA BAADA YA KUWAKARIBISHA MATAIFA NJAA YA ILIZOKUA USSR NA EAST EUROPE...WAULIZENI MATATIZO YAO..ANY WAY HII NI TOPIC PEKEE YA KUJADILI NITAILETA WAKATI MUWAFAKA..LAKINI KWA SASA NORTH ANAYO HAKI YA KUDAI CHAKE KWA HAWA WAGOMVI WANAO TUMIWA TU NA WAZUNGU
   
 9. Lonestriker

  Lonestriker JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  I'm trying to digest the emerging stories...where does this leads to?Another monkey ploy from Western agents to halt Africa's progress?Is it our typical stupidity?What role will EAC play to help our brothers and sisters in the South?
   
 10. Macos

  Macos JF-Expert Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 1,831
  Likes Received: 1,004
  Trophy Points: 280
  kwa nini south ndio brother zetu? Because they are christians or what? I dont get it..even snorth are our brothers tumekua tukishirikana nao kwa muda mrefu katika nyanja mbali mbali...sasa huu ubradha du wa south umetoka wapi?
  Ni taifa litalotumiwa sana na wazungu kusababisha umwagaji damu eno hili...mutaona tuombe uhai
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Albashr mwisho wa uhai wake umekaribia, hakujifunza kwa sadam huseni. South watakopeshwa midege na technology ya vita soon na wenye kuyamezea mate mafuta. subirini myaone.
   
 12. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Hili suala sio tena la udini "Muslim North Sudan declares war on Christian South Sudan". Hapa hawa South Sudan wamechemsha kisheria. Wangeanza kulipigia tafu suala hili la Heglig kuanzia kwenye majadiliano ya Machakos mpaka walipotia wino CPA (Comprehensive Peace Agreement). Inakuweje wakae kimya muda wote huo na waibuke na ishu hiyo sasa! Simshangai Bashir anapoanza kufoka baada ya kuona anatapeliwa kimachomacho.
   
 13. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapana. North ni brother zako mwenyewe. Mimi hawa si brothers wangu. Hawa wanatuona makafir na wamewahi kuwachukua utumwani watu wa south. Wasouth wana ndugu Uganda hadi Kenya hadi Tanzania. The Acholis, the Langis, tha Jaluos wote ni asili ya South Sudan.
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,324
  Likes Received: 1,791
  Trophy Points: 280
  Are you a luo bro? Maana ntaanza kukuita mtu mzima. Wale jamaa wanakwenda jandoni wakifika miaka sitini,lol! All in all, A Bashir anataka kuchezea tindikali akifikiria ni maji..ataungua sasa hivi. That is a trap
   
 15. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ocampo si alimtafuta huyu al bashir? Ngoja aendelee kujitengenezea mazingira ya kupelekwa the hague!
   
 16. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #16
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Kwani huko South Sudan hakuna askari kanzu.
   
 17. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #17
  Apr 20, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Duhu, teh teh teh!
   
 18. n

  ngasindwa Member

  #18
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona mwisho wa albashir umekaribia, jamaa wamemtafuta muda mrefu, masaa yake sasa yanahesabika..
   
 19. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #19
  Apr 20, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  He can't fight on three fronts, if you include Darfur and the other rebels. Naanza kuona mwanzo wa mwisho wa El-Bashir!
   
 20. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #20
  Apr 20, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
Loading...