Oman: Msichana wa kazi awanyonga watoto 2 wa Boss pamoja na yeye

Powder

JF-Expert Member
Jan 6, 2016
4,800
6,294
Tukio hili limetokea huko Middle east, Oman ambapo msichana huyo mwenye asili pia ya Asia alisema, "Nimeamua kufanya haya angalau kulipa kisasi juu ya Maumivu ya manyanyaso ambayo Boss wangu amekua akinifanyia".....aliandika Binti huyo kwenye karatasi ilokutwa jirani na mwili wake.

My take:
Naona Wafanyakazi wa ndani wamebuni style mpya, na kwa style hii itawapunguzia makali hawa Waarabu.

Picha zimetolewa hazifai kuonyeshwa
 
Msondo walikuwa na nyimbo hii
. "Mwingine anafurahia mtoto kaolewa
. Mwingine anahuzunika baba kafariki"
Jirani yangu kaenda kufanya kazi Oman sasa kaolewa huko huko na ameleta Coster mbili na anajenga Mbezi

Ila sushauri watoto wetu waende huko Kuna manyanyaso Sana kwa watu wavivu kama wa Tz
 
aliyejinyonga atakuwa ni Ndugu NI KUTOKA KULE AMBAPO MBWA WANALIWA KWELI KWELI
 
Back
Top Bottom