Oluoch atenzwa nguvu na mwenyekiti bunge la katiba

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
KATIKA HALI ISIYOTARAJIWA mwenyekiti alimteua mwakilishi wa walimu katika bunge la katba kwenda kuwakilisha msibani kwa mh sofia simba. wakati akiteuliwa wajumbe walipiga kelele ikionekana alikuwa mwiba kwa kanuni ambazo hazikuwa sawa na hivyo kuteuliwa kwake kukasisimua bunge kwa kujua kuwa watakosa mchango wake kwa vikao vya leo.
 
kutenzwa nguvu maana kuzidiwa nguvu.

kwa hapa amepunguzwa makali kwa kuondoshwa bungeni ili makeke yake yasionekane
 
kutenzwa nguvu maana kuzidiwa nguvu.

kwa hapa amepunguzwa makali kwa kuondoshwa bungeni ili makeke yake yasionekane

"Kutenza nguvu" ni kubaka na sii vinginevyo
kwa maana hiyo mleta thread kama alikuwa hajui na ajue kisha arekebishe haraka.
 
"Kutenza nguvu" ni kubaka na sii vinginevyo
kwa maana hiyo mleta thread kama alikuwa hajui na ajue kisha arekebishe haraka.

sisi zanzibar hutumia sana neno hilo wala halimaanishi kubaka. linamaanisha kumzidi nguvu. sijui nyny wapi mnatumia kwa maana hio
 
Back
Top Bottom