Nilikuwa natumia radiant tu, tatizo hapa kwenye kisogo nywele zimekuwa fupi na zingine zinakatika na zingine mzizi pia zinatokakabla ulikua unatumia mafuta gani?
kwa uelewa wangu nywele zina stage kadhaa,mojawapo ni resting phase(hapa nywele zee nyingi hutoka na kua replaced na mpya zinazoota)
you should be more worried na hizo zinazokatika kuliko zinazong'oka na kimzizi)
Yaani utakuwa na nywele nzuri sana kupita awali, na utakuwa na ngozi nzuri mno ukitumia hayo mafuta ya mzeituni mpaka utajishangaa kuwa na ngozi nzuri.Asante, nimeanza leo, nitaleta feedback baada ya miezi miwiliu
Napaka na mwilini pia nataka nione ngozi yangu itakuwaje,
Waoh! Asante sana, sitoyaacha kwakwel, nitakupa feedback naamin Mungu atanisaidia ktk hili cz nina nywele ndefu lakin ghafla nikaona zinang'oka ikabid nitafute haya mafuta lakin sikujua kama yanasaidia nyweleYaani utakuwa na nywele nzuri sana kupita awali, na utakuwa na nguzi nzuri mno ukitumia hayo mafuta ya mzeituni mpaka utajishangaa kuwa na ngozi nzuri.
Kama zimekatika sana tafuta castro oil upake kwenye ngozi yanasaidia sana kuboost growth. Olive inasaidia ziwe manageable na zenye afyaWaoh! Asante sana, sitoyaacha kwakwel, nitakupa feedback naamin Mungu atanisaidia ktk hili cz nina nywele ndefu lakin ghafla nikaona zinang'oka ikabid nitafute haya mafuta lakin sikujua kama yanasaidia nywele
Usisubiri mpaka nywele ziwezinakatika yatumie hata sasa kwa kupaka kwenye nywele utaona zinavyokuwa nzuri na kupendezaWaoh! Asante sana, sitoyaacha kwakwel, nitakupa feedback naamin Mungu atanisaidia ktk hili cz nina nywele ndefu lakin ghafla nikaona zinang'oka ikabid nitafute haya mafuta lakin sikujua kama yanasaidia nywele
Hapana sababu yote ni pure natural. Castro unapaka tuu kwenye ngozi. Pendelea mafuta natural ni mazuri sana.Zilikuwa zinaanza kukatika, so kuchanganya mafuta hayoto haribh nywele mpenzi?
Yaani haya MAFUTA yanakuza hadi nywele yaani yafanye kuwa ndiyo mafuta yako ya mwilini na kwenye nywele na kukuza nywele hachana na mafuta mengine kabisa kama unataka positive response...Waoh! Asante sana, sitoyaacha kwakwel, nitakupa feedback naamin Mungu atanisaidia ktk hili cz nina nywele ndefu lakin ghafla nikaona zinang'oka ikabid nitafute haya mafuta lakin sikujua kama yanasaidia nywele
pole sana kwa hilo tatizo.sina historia ya kutumia hiyo radiant.ila ninayafaham.Nilikuwa natumia radiant tu, tatizo hapa kwenye kisogo nywele zimekuwa fupi na zingine zinakatika na zingine mzizi pia zinatoka
Asante sana nashukurupole sana kwa hilo tatizo.sina historia ya kutumia hiyo radiant.ila ninayafaham.
mizizi inatoka hasahasa nywele zile za mbele usoni nahisi na katikati ndio zinakatika(nisahihishe ka nimekosea)
kwa knowledge nlonayo hayo olive waeza kutumia nywele zikaimarika ila kwa hizo zinazokatika/kutoka mizizi nakushauri utumie mafuta ya jamaican black castor oil ni mazuri kuboost ukuaji wa nywele kama member mwingine alivuokushauri huko mwanzo.haya mafuta ni mazito kwahiyo unapaka kwenye ngozi ya nywele.nayo ni ya asili wala hayatoleta shida ukiwa waendelea kutumia ya olive kwenye nywele.
ukilala kama hutumii kofia au scarf uanze kutumia (silk au satin)material laini ya kuteleza,inawezekana unalalia kisogo bila kofia hali inayopelekea nywele kua kavu matokeo yake kukatika kirahisi.(kofia/scarf inatunza unyevu kwenye nywele)hivyo haikatiki kirahisi.
karibu..Asante sana nashukuru