Olimpic - Nguo za wanariadha zifiche jiografia ya maongo ya siri

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,886
6,883
article-2184089-1466B31E000005DC-533_964x582.jpg


Marekani ubunifu wa nguo hizi za michezo kwa namna moja ni udhalilishaji kwa wanamichezo kwa kutoficha baadhi ya maungo yao ambayo si vema kuonekana jiografia yake kwa uwazi hivi.
 
article-2184089-1466A7A7000005DC-525_964x583.jpg


Labda kubana sana maungo ndio kupata nguvu ya kwenda kasi zaidi, lakini Wajamaika hawakubana hivyo wameibuka kidedea
 
We nini wewe!
Vazi Rasmi la Olympic kwa zaidi ya mika 2000 ilikuwa ni Birth Day Suit.
Enzi hizo mtu unatimua mbio uchi kichwani una taji la majani ya Olive tu.
Juhudi kubwa sana zimefanywa hadi kufikia hatua hii tuliyo nayo sasa.
Tena nyamaza usiseme kabisa.
 
We nini wewe!
Vazi Rasmi la Olympic kwa zaidi ya mika 2000 ilikuwa ni Birth Day Suit.
Enzi hizo mtu unatimua mbio uchi kichwani una taji la majani ya Olive tu.
Juhudi kubwa sana zimefanywa hadi kufikia hatua hii tuliyo nayo sasa.
Tena nyamaza usiseme kabisa.

mkuu hatutakiwi kunyamaza,km juhudi zimetufikisha hapa tulipo basi tunahitaji Juhudi nyingine za kutupeleka Mbali zaidi ya hap tulipo.tusione kuwa tumefika
 
Ikiwezekana basi tpendekeze,
Kanzu au Joho la shemazi,
liwe vazi la kukimbilia!

A Lubega ya Masai?

Hata Masai mara nyingi pale Dar,
nimeona watu wakikwazika na mavazi yao.
Mavazi ambayo ni asili yao.

Watu hukwazika na Uchezaji wa Sindimba,
ile ngoma ya kimakondo,
Wamakonde hawakuiiga ngoma ile toka Ulaya.

Kuna ngoma ya Kiha nimesahau jina,
mwanamke hukaa chini,
kisha kukata kiuno kwa sana,
viongozi kadhaa wamedai ngoma hii,
ni kinyume na utamaduni wa Mtanzania,
Mtanzania yupi?

Watu wanatembea wamevaa nguo zote,
na kuacha makabati tupu,
wasikileze maneno yao mdomoni,
mara 100 wangekaa uchu wangesetirika.

Ni kivazi tu,
Taabu yote iko akilini mwetu.
 
yanatukwaza watanzania wakati hata ikwekwa medali ya mbao thatuwezi kuichukua,sisi kazi yetu ni kuangalia maungo tu wakati wenzetu wala hawayaoni wao wakiangalia wanaona medali tu.
 
Unataka tukimbie na khanga kifuani? Lol!

Tukitwaa medali kadhaa labda watatufikiria. Kwa sasa usindikizaji ndo role yetu

kigagulo kifupifupi :):) na khanga iliyofunika matiti kiushahidishahidi :):) itakuwa poa sana...usinirushie dongo best lol!
 
Mabwepande wanatumia koleo, afadhali umenikumbusha nibebe na hiyo. All in the name of love best, trust me. Lol

Unataka khanga ya kiushahidishahidi ili upige udeo incase of accident? Nshashtukia!
Dah! Kumbe hunipendi Best!!! Tofali tena!? unataka kunifanyia mambo ya mabwepande? lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mabwepande wanatumia koleo, afadhali umenikumbusha nibebe na hiyo. All in the name of love best, trust me. Lol

Unataka khanga ya kiushahidishahidi ili upige udeo incase of accident?
Nshashtukia!


Hahahahahah lol! hapana bana si unaona kule kwenye beach volleyball London njemba zinavyojaa kuangalia nanihii :):) furaha ya macho ni kukodolea :):)
 
Sasa nimeshajua siri! Kumbe PAW akijitia busy kuangalia olympics ana lake jambo eeh? Ngoja nimpige ban, anawezakuwa anakula ugali kwa picha ya thamaki!

Hahahahahah lol! hapana bana si unaona kule kwenye beach volleyball London njemba zinavyojaa kuangalia nanihii :):) furaha ya macho ni kukodolea :):)
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom