Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

CCM wanapowatetea kina Mdee wasipewe adhabu na chama chao..think twice!!
Wanapambania wasikose hizo trillion mbili toka kwa wafadhili.
Vinginevyo kipato cha wabunge kitakuwa sawa na walimu Wa shule za kata
 
Mtasubiri sana. Covid-19 anatokomezwa leo kabla ya saa 10.

Kama ilivyokuwa Kwa Covid19 , ona ile Hekima na msimamo wa mtu mmoja ulivyokuwa thabiti, lkni ona malalamiko ya watu ambao hawakuwa na Imani walivyokuwa wakimchalenji huyo mwenye Imani, kama angeyumba tu, vipi hiyo athari yake!!

Swali ni kwamba, hiyo Hekima ya kutokomeza kovidi ya CHADEMA itatoka Kwa Nani, na Je itakuwa sahihi Kwa muda huu?

Hekima iongoze kikao aisee
 
CHADEMA mkuu ,ni mashine nyingine ondoa Shaka,CHADEMA imejenga watu TOKA chin ,ina azina ya viongozi usipime
Hata mh mbowe angesema ameamua hama chama,but Bado CHADEMA itakuepo,na historia ya Chama hichi wapitapo migogoro ndivyo hukomaa zaidi,
Hiki ni chama chenye roho 7 mkuu,sio maneno yangu ila yapo na kipindi Cha nyuma niliwahi uliza swali hili, kwamba roho saba ya CHADEMA maana yake ni Nini,? Hakuna alienijibu mkuu
Ushauri
Watawala kamwe msijidanganye na neno CHADEMA mtapotea ,ila elewa tu CHADEMA ni chama chenye roho saba Kama paka, so huwezi izuru ,sambaratisha Kama hujui chanzo Cha CHADEMA, ni ngumu ,na itawala taifa hili Kama sio leo basi kesho au kesho kutwa no way
 
Nguvu iliyo nyuma ya sakata hili ni CCM na serikali yake. Ndiyo maana wengi wanaowashabikia wasaliti hawa ni viongozi na wanachama wa CCM. No more, no less.
Mkuu, hii siyo utani aisee, msimuone Mdee ikadhaniwa ati Yuko peke yake, CHADEMA itafumka Leo kama bomu la atomic aisee

Hayo siyo ya kuombea, Hekima itumike zaidi aisee
 
Mkuu, saluti kwako,

Sjui Kwa nini Mimi interejensia yangu inaona kabisa kwamba, kama Hekima haitatumika, leo Chadema itafyatuka kama bomu la atomic aisee
Mkuu nashukuru,ila niwe wazi mkuu ,ni takribani miaka arobain na ushehe, sikuwai kuwa na chama ,ila ndani ya siku kumi na nne ,baada ya kukisoma chama hichi, pitia katiba, nyendo za viongonzi wakuu, wanachama sehem tofauti ya nchi hii , nikawa na maamuzi ya kina kujiunga na chama hichi,sio leo nimeandika kabisa hum siku, 3 au tano zilizo pita ,kwamba naenda kujiunga na chama hichi, na sitojiunga kwa kutafuta cheo chochote uwe Ubunge, Udiwani, au nafasi yoyote labda Mungu akinipa maono mengine, ila nitajiunga na mamilion ya chama hichi tafuta haki,
Mungu ibariki Tz na Mungu ibariki CHADEMA
 
CHADEMA imeshakufa tayari. Hapa tupo kwenye kikao tunashauriana tusafirishe au tuzikie hapahapa.
 
kama chama kinaongozwa na Katiba na Sheria hakuna jambo gumu hapo, hivi unajua hata itokee Mbowe kafukuzwa kwa kosa hilo bado CHADEMA itapata nguvu kuliko kubaki na viti maalum.
Mbowe huwa anafukuza au kuwazulia skendo wote wanaotaka kuwania Uenyekiti wa chama sembuse kujadili kumfukuza!! Atawaroga woteee
 
Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,

Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani

Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Hii comment yako itafutwa tu kwa sababu ni nyundo imegongwa kichwani. Huku kinachotakiwa na kuamini kura feki zilikuweko ukihoji kwa mshiko kama huo wewe ni Lumumba na huku utakuwa black listed
 
Maboya wa Lumumba mnakazi ngumu sana humu mtandaoni mkiongozwa na Pascal Mayala kutetea ujinga .
 
Mkuu, unajua hili la Kura feki linafikirisha Sana na lina maswali mengi majibu yake ni kidogo ukilinganisha na maswali,

Hivi Ilikuwaje Kura feki zikamatwe na wa CHADEMA halafu ni kituo kipi na Nani aliyekamatwa nazo hata hajulikani

Kwa nini zinskamatwa na kuchomwa Moto papo hapo badala ya kuwa zifanyike ushahidi wa kupeleka Mbele ya pilato na aliyekutwa nazo wote wakaenda kujibu,mbona ilifanyika hivyo mkuu
Wanasemaga eti siasa ni mbinu ya kutafuta ushindi wa ushawishi wakati wote; kwa mtu aliyekuwa anajua lazima tu vyovyote kushindwa ni jambo lisiloepukika, Plan B ndiyo hiyo --- "Makamanda! Hii ngoma mbichi na nzito; tutaibuka na hoja gani mbele ya umma baada ya Oktoba 28???"

"MABEGI MENGI MENGI SANA YA KURA FEKI!"
 
Lililotarajiwa lisifanyike, ndilo limefanyika

Lililotarajiwa lifanyike, halijafanyika!!

Sasa kinachofuata ni kugawana fito!!
 
Ole wenu CHADEMA!!

Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua mgogoro huo

Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini kwamba, kuna kundi na nguvu kubwa iliyo nyuma Yao na ndani Yao ni viongozi wandamizi chamani

Maamuzi yenye Hekima pekee ndiyo yatakayoifanya CHADEMA iendelee kuwepo!!

Swali ni Je!

Ni nani atakuwa mwamuzi katika Hilo ikiwa baadhi ya viongozi ngazi za juu kabisa nao wamo kwenye skendo hii??

Jua na mvua Bora nini??
Unajidanganya were nguvunnyuma yao ni CCM na viranja wao.
CDM ni nguvu ya umma, wakisaliti
chama kikatoa maamuzi Bora,
Kibazidi kuimarika na kupatta kibali mioyoni mwa watu!!
Time will tell!!
 
paul sylvester said:
Lililotarajiwa lisifanyike, ndilo limefanyika
Lililotarajiwa lifanyike, halijafanyika!!
Sasa kinachofuata ni kugawana fito!!
Masikini paul sylvester...need I say more? Sijui huko CCM mnajisikiaje...bila shaka mnatunga plan B na kama kawaida na yenyewe itakuwa ya kipumbavu kama plan A.
 
Waadhibiwe kama wamekiuka taratibu za chama!Huwezi kujiteua wakati jukumu hilo ni la Kamati kuu!
Wasipofukuzwa nahamia Chauma!
Kesho ndio mgogoro mkuu rasimi unaanza na mgogoro huo ndio unaenda mpaka kwenye hitimisho la Chama
 
Back
Top Bottom