Ole wao Wabunge wa aina hii

Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.

Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa Mkubwa.
Wameacha kabisa wajibu wa msingi wa Mbunge ambao ni kuisimamia na kuishauri serikali. Wananchi wanateseka huku mtaani, wao hawana habari.

Mbaya zaidi, akitokea Mbunge mmoja akatoa hoja inayokinzana kidogo na utawala, unakuta wanamshambulia kisawa sawa huyo Mbunge kwa kuomba miongozo isiyo hata na tija kwa Taifa.

Kama Wabunge wote wangetimiza wajibu wao wa msingi, kwa hakika hata bei za vitu zisingekuwa zimepanda kwa kiasi hiki.

Ni vema kila Mbunge akakumbuka kuwa, Wananchi ndio waliompeleka pale Bungeni, na wala si huo utawala wanaoutetemeke.

Pia wakumbuke kuwa, mwaka 2025 siyo mbali sana kama wanavyofikiri, watakuja kutuambia nini 2025?

Hali kadhalika wakumbuke kuwa, Watanzania wa sasa si kama wa miaka iliyopita.

Wanajitambua sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
Kwani walichaguliwa na wananchi?? Sio lazima wawakilishe eti
 
Dah,
We jamaa una upeo mdogo sana. Wapi nimeongelea kua nilichoandika kitapunguza bei ya mafuta? Watu kama nyinyi itabidi mtengewe jukwaa lenu aisee, maana mnatupa sana tabu kuwaelewesha tukichanganyika jukwaa moja.

Kuna mdau kauliza inakuaje bado kwenye stock tuna mzigo wa zamani wa bei rahisi lakini tunauuza kwa bei kubwa, nikamjibu kua njia wanayotumia kutafuta cost ni weighted average, nikatoa na mfano hii method inavyofanya kazi.

Kama huelewi humu basi sio lazima uingie, majukwaa yako mengi

Sasa umeandika Nini hapa? Hii ni bla bla tu ...Sihitaji kuelewa bla bla

Lete solution , proposal ya kupunguza Bei ya mafuta

Ukileta hesabu zako Zina Faida gani Kwa jamii?
 
We jamaa, mbona kama vile kichwa chako ni Kasha TUPU.
 
Sasa umeandika Nini hapa? Hii ni bla bla tu ...Sihitaji kuelewa bla bla

Lete solution , proposal ya kupunguza Bei ya mafuta

Ukileta hesabu zako Zina Faida gani Kwa jamii?
Sihitaji kukuletea wewe solution kwanza haitokusaidia wala mi sio mfanya maamuzi serikali. Nimetoa shule ya bei inavyopangwa, kama havikuhusu unapotezea tu.

Saa zingine usijilazimishe sana kujadili yasiyokuhusu, unakua kama unajipendekeza hivi, Na kama ni wa kiume watu wanaweza wakaanza kajiuliza mahswali.
 
Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.

Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa Mkubwa.
Wameacha kabisa wajibu wa msingi wa Mbunge ambao ni kuisimamia na kuishauri serikali. Wananchi wanateseka huku mtaani, wao hawana habari.

Mbaya zaidi, akitokea Mbunge mmoja akatoa hoja inayokinzana kidogo na utawala, unakuta wanamshambulia kisawa sawa huyo Mbunge kwa kuomba miongozo isiyo hata na tija kwa Taifa.

Kama Wabunge wote wangetimiza wajibu wao wa msingi, kwa hakika hata bei za vitu zisingekuwa zimepanda kwa kiasi hiki.

Ni vema kila Mbunge akakumbuka kuwa, Wananchi ndio waliompeleka pale Bungeni, na wala si huo utawala wanaoutetemeke.

Pia wakumbuke kuwa, mwaka 2025 siyo mbali sana kama wanavyofikiri, watakuja kutuambia nini 2025?

Hali kadhalika wakumbuke kuwa, Watanzania wa sasa si kama wa miaka iliyopita.

Wanajitambua sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
Hata ikifanyika tathmini watu wanaofatilia bunge miaka5 iliyopita na huko nyuma,itaonekana afadhali huko nyuma miaka ya2010 kurudi walau.
 
Nikujibu Kwa mfano rahisi wa hesabu, hapa lakini ni kama kichwa chako kiko vizuri kwenye mambo haya ya hesabu ndo utaelewa, maana nazo ni wito.

Wewe unanunuaga mchele kwa TZS 1,000 kwa kilo kisha unauza kwa TZS 1,500 na kupata faida ya TZS 500 kwa kila kilo. Yaani faida yako umeweka iwe TZS 500 kila kilo. Sasa inatokea umebaki na kilo 100 kwa stock na kule unakonunua umepanda mpaka TZS 1,200 kutoka TZS 1,000 kwa kilo.

Tuseme umechukua mzigo mpya wa kilo 400. Ina maana kwenye stock/store utakua na mzigo wa 100kg x TZS 1,000 zilizobaki mwanzo na mzigo mpya wa 400kg x TZS 1,200 uliouleta Sasa. Au kwa hesabu zingine utakua na mzigo wa jumla kilo 500 ambazo gharama yake ya kununua ni TZS 100,000 + TZS 480,000 = TZS 580,000.

Ukipiga hesabu hapa ni sawa na kusema mzigo uliokua nao wastani wa bei yake ni TZS 580,000/500kg = TZS 1,160 kwa kilo. Tukija kwenye faida ya TZS 500 kwa kila kilo basi ndo unajikuta ulipoingiza tu mzigo mpya wa TZS 1,200 basi Bei ya kuuzia nayo imepanda kua TZS 1,160 + TZS 500 = TZS 1,660 kutoka Ile TZS 1,500 uliokua ukiuza awali.

Kifupi formula inayotumika hapa inaitwa "Weighted Average", ipo imekubalika.
Good explanations with examples....ila mtatuua hakyanani. Hali sio shwari.
 
Sihitaji kukuletea wewe solution kwanza haitokusaidia wala mi sio mfanya maamuzi serikali. Nimetoa shule ya bei inavyopangwa, kama havikuhusu unapotezea tu.

Saa zingine usijilazimishe sana kujadili yasiyokuhusu, unakua kama unajipendekeza hivi, Na kama ni wa kiume watu wanaweza wakaanza kajiuliza mahswali.

Hiyo shule inamsaidia nani?

Unapoteza muda kuandika bla bla
 
Hili ni jukwaa, hivyo ukiandika upotoshaji...ukosolewe

Unaandika kitu kujustify wizi, na madili ya kupandisha Bei stock... everybody knows your intention

Upotoshaji
 
Hiyo shule inamsaidia nani?

Unapoteza muda kuandika bla bla
Kwa ngumbaru kama wewe darasa la saba B shule haikusaidii. Ndio maana hapa chini ulikua unauliza ujinga ujinga. Uliuliza ili iweje kama hutaki kueleweshwa? jinga sana wewe.

Kichwani uko mtupu unaeleweshwa unakua mbishi. Wazazi na walimu wako walipata tabu sana.
Screenshot_20220412-041237_Chrome.jpg

Screenshot_20220412-041237_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom