Ole wao Wabunge wa aina hii

Daisam

JF-Expert Member
May 23, 2016
2,626
3,141
Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.

Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa Mkubwa.
Wameacha kabisa wajibu wa msingi wa Mbunge ambao ni kuisimamia na kuishauri serikali. Wananchi wanateseka huku mtaani, wao hawana habari.

Mbaya zaidi, akitokea Mbunge mmoja akatoa hoja inayokinzana kidogo na utawala, unakuta wanamshambulia kisawa sawa huyo Mbunge kwa kuomba miongozo isiyo hata na tija kwa Taifa.

Kama Wabunge wote wangetimiza wajibu wao wa msingi, kwa hakika hata bei za vitu zisingekuwa zimepanda kwa kiasi hiki.

Ni vema kila Mbunge akakumbuka kuwa, Wananchi ndio waliompeleka pale Bungeni, na wala si huo utawala wanaoutetemeke.

Pia wakumbuke kuwa, mwaka 2025 siyo mbali sana kama wanavyofikiri, watakuja kutuambia nini 2025?

Hali kadhalika wakumbuke kuwa, Watanzania wa sasa si kama wa miaka iliyopita.

Wanajitambua sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
 
Kuna stock ya mafuta ya Siku 27, halafu Kwa Nini wapandishe siku hiyo hiyo? Kwa Nini wasubiri hiyo stock ya Zamani iishe?

Fishy business on petroleum
Nikujibu Kwa mfano rahisi wa hesabu, hapa lakini ni kama kichwa chako kiko vizuri kwenye mambo haya ya hesabu ndo utaelewa, maana nazo ni wito.

Wewe unanunuaga mchele kwa TZS 1,000 kwa kilo kisha unauza kwa TZS 1,500 na kupata faida ya TZS 500 kwa kila kilo. Yaani faida yako umeweka iwe TZS 500 kila kilo. Sasa inatokea umebaki na kilo 100 kwa stock na kule unakonunua umepanda mpaka TZS 1,200 kutoka TZS 1,000 kwa kilo.

Tuseme umechukua mzigo mpya wa kilo 400. Ina maana kwenye stock/store utakua na mzigo wa 100kg x TZS 1,000 zilizobaki mwanzo na mzigo mpya wa 400kg x TZS 1,200 uliouleta Sasa. Au kwa hesabu zingine utakua na mzigo wa jumla kilo 500 ambazo gharama yake ya kununua ni TZS 100,000 + TZS 480,000 = TZS 580,000.

Ukipiga hesabu hapa ni sawa na kusema mzigo uliokua nao wastani wa bei yake ni TZS 580,000/500kg = TZS 1,160 kwa kilo. Tukija kwenye faida ya TZS 500 kwa kila kilo basi ndo unajikuta ulipoingiza tu mzigo mpya wa TZS 1,200 basi Bei ya kuuzia nayo imepanda kua TZS 1,160 + TZS 500 = TZS 1,660 kutoka Ile TZS 1,500 uliokua ukiuza awali.

Kifupi formula inayotumika hapa inaitwa "Weighted Average", ipo imekubalika.
 
NONSENSE! EWURA wawaeleze wananchi hivyo, wanashindwa nini? usitake kuwa agent wao kwa kujipendekeza.
 
Hamna kitu hapa
 
NONSENSE! EWURA wawaeleze wananchi hivyo, wanashindwa nini? usitake kuwa agent wao kwa kujipendekeza.
Kama ni Mimi umenijibu basi hiyo ni elimu nimekupa, ichukue. Otherwise kasome methods of costing from Google upate maarifa zaidi. Kuna vitu ni kweli vinaumiza lakini haizuii kuelimishana why vimatokea.
 
Wah. Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.
Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.
Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa Mkubwa.
Wameacha kabisa wajibu wa msingi wa Mbunge ambao ni kuisimamia na kuishauri serikali. Wananchi wanateseka huku mtaani, wao hawana habari.
Mbaya zaidi, akitokea Mbunge mmoja akatoa hoja inayokinzana kidogo na utawala, unakuta wanamshambulia kisawa sawa huyo Mbunge kwa kuomba miongozo isiyo hata na tija kwa Taifa.
Kama Wabunge wote wangetimiza wajibu wao wa msingi, kwa hakika hata bei za vitu zisingekuwa zimepanda kwa kiasi hiki.

Ni vema kila Mbunge akakumbuka kuwa, Wananchi ndio waliompeleka pale Bungeni, na wala si huo utawala wanaoutetemeke.
Pia wakumbuke kuwa, mwaka 2025 siyo mbali sana kama wanavyofikiri, watakuja kutuambia nini 2025?
Hali kadhalika wakumbuke kuwa, Watanzania wa sasa si kama wa miaka iliyopita. Wanajitambua sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
Katiba iliyopo haimpi mwananchi wajibu wa kumfuatilia ama kumwajibisha mbunge wake. Mbunge akishachaguliwa anakuwa kama malaika. Kila kitu anafanya kwa kujisikia.

Mfano hadi leo Job Ndugai hajulikani alipo na wananchi hawaoni shida!
Wabunge wetu wanajipangia na kujipitishia posho na mishahara minono huku wananchi hawaoni shida kabisa!!
 
Nimekuelewa mtoa hoja na ninakubaliana nawe kwa yote except Aya zako mbili za mwisho, 2020 hakukuwa na uchaguzi hapa nchini,ule ulikua ni uchafu na wabunge wote mle ndani ni najisi,wote wale walikua hand picked na former no 1,mfano mzuri na wa wazi alitamka mwenyewe kuhusu jimbo la kawe ambalo relative wake alishinda kura za maoni na kilichotokea ni history (sijui wana kawe wangapi wameshapelekwa 🇺🇸)na Aya ya mwisho generation hii ya watanzania ni waoga hadi wa kuogopa vivuli vyao but we're heroes kwenye keyboards.
 
Tatizo letu watanzania ni moja kwa sasa Mbunge akisimama kutete wananchi ataitwa Sukuma gang,Pia wakikaa kimya wanaonekana hawawajibiki tuwe na focus moja kama Taifa.
 
Nikujibu Kwa mfano rahisi wa hesabu, hapa lakini ni kama kichwa chako kiko vizuri kwenye mambo haya ya hesabu ndo utaelewa, maana nazo ni wito.

Wewe unanunuaga mchele kwa TZS 1,000 kwa kilo kisha unauza kwa TZS 1,500 na kupata faida ya TZS 500 kwa kila kilo. Yaani faida yako umeweka iwe TZS 500 kila kilo. Sasa inatokea umebaki na kilo 100 kwa stock na kule unakonunua umepanda mpaka TZS 1,200 kutoka TZS 1,000 kwa kilo.

Tuseme umechukua mzigo mpya wa kilo 400. Ina maana kwenye stock/store utakua na mzigo wa 100kg x TZS 1,000 zilizobaki mwanzo na mzigo mpya wa 400kg x TZS 1,200 uliouleta Sasa. Au kwa hesabu zingine utakua na mzigo wa jumla kilo 500 ambazo gharama yake ya kununua ni TZS 100,000 + TZS 480,000 = TZS 580,000.

Ukipiga hesabu hapa ni sawa na kusema mzigo uliokua nao wastani wa bei yake ni TZS 580,000/500kg = TZS 1,160 kwa kilo. Tukija kwenye faida ya TZS 500 kwa kila kilo basi ndo unajikuta ulipoingiza tu mzigo mpya wa TZS 1,200 basi Bei ya kuuzia nayo imepanda kua TZS 1,160 + TZS 500 = TZS 1,660 kutoka Ile TZS 1,500 uliokua ukiuza awali.

Kifupi formula inayotumika hapa inaitwa "Weighted Average", ipo imekubalika.
Nonsense. .hujui economics Bob

Kajifunze upya, ndio uje kutetea utopolo wako hapa

Kwanini Serikali isije na mbinu mpya kama India au China? Kununua mafuta Bei rahisi kutoka Russia!

Hata Ulaya wanaendelea kununua gesi ya Ulaya,

Kwa hiyo ndio UVCCM ..mmeishia hapo? Ndio think tank ya CCm! Ovyoooo
 
Nimetoa Cost Method inayoitwa Weighted Average unakuja na Utumbo wako eti Economics, sijui UVCCM. Yaani ndio Akili yako ilipoishia hapa unashindwa kujibu hoja. Yaani akili yako ni ile inayoburuzwa juu juu tu bila kuchambua, pengine mipasho ya kwenye khanga ndio fani yako unayoimudu zaidi. Kusema ukweli kama wewe ni miongoni mwa Vijana wa Upinzani basi jua tu unatuaibisha sana Wapinzani wengine.

Ya serikali kununua Mafuta Russia waambie wenyewe, mio sipo Serikali, na hata sipo huko UVCCM unakojifichia.
 
Wabunge, wawakilisheni Wananchi wenu vizuri.

Asilimia kubwa ya Wabunge kule Bungeni hawatetei maslahi ya Wananchi na Taifa kwa ujumla.

Zaidi sana wanachokifanya ni kujipendekeza na kujikomba kwa Mkubwa.
Wameacha kabisa wajibu wa msingi wa Mbunge ambao ni kuisimamia na kuishauri serikali. Wananchi wanateseka huku mtaani, wao hawana habari.

Mbaya zaidi, akitokea Mbunge mmoja akatoa hoja inayokinzana kidogo na utawala, unakuta wanamshambulia kisawa sawa huyo Mbunge kwa kuomba miongozo isiyo hata na tija kwa Taifa.

Kama Wabunge wote wangetimiza wajibu wao wa msingi, kwa hakika hata bei za vitu zisingekuwa zimepanda kwa kiasi hiki.

Ni vema kila Mbunge akakumbuka kuwa, Wananchi ndio waliompeleka pale Bungeni, na wala si huo utawala wanaoutetemeke.

Pia wakumbuke kuwa, mwaka 2025 siyo mbali sana kama wanavyofikiri, watakuja kutuambia nini 2025?

Hali kadhalika wakumbuke kuwa, Watanzania wa sasa si kama wa miaka iliyopita.

Wanajitambua sana kuliko wakati mwingine wowote ule.
Baba hawa wabunge wa sasa wanajua kabisa kabisa kwamba hawakuchaguliwa ndio hawana muda na chochote kinachowahusu wananchi wa majimbo yote ya uchaguzi Tanzania.Hivyo tusiumize sana vichwa.
 
Ni vigumu sana kumuamini mtu kigeugeu.
Tatizo letu watanzania ni moja kwa sasa Mbunge akisimama kutete wananchi ataitwa Sukuma gang,Pia wakikaa kimya wanaonekana hawawajibiki tuwe na focus moja kama Taifa.
 
Mbunge wa Gairo huwa namwelewa sana, mshkaji anaongea point.

Wana gairo hongereni sana kwa shabiby, kweli mmepata jembe
 
Nimetoa Cost Method inayoitwa Weighted Average unakuja na Utumbo wako eti Economics, sijui UVCCM. Yaani ndio Akili yako ilipoishia hapa unashindwa kujibu hoja. Yaani akili yako ni ile inayoburuzwa juu juu tu bila kuchambua, pengine mipasho ya kwenye khanga ndio fani yako unayoimudu zaidi. Kusema ukweli kama wewe ni miongoni mwa Vijana wa Upinzani basi jua tu unatuaibisha sana Wapinzani wengine.

Ya serikali kununua Mafuta Russia waambie wenyewe, mio sipo Serikali, na hata sipo huko UVCCM unakojifichia.
Mimi ni Serikali ndio nikujibu hoja?

Hoja ipi ya maana unayo?

Hoja yako inapunguza Bei ya mafuta! Unaongea nonsense
 
Nimetoa Cost Method inayoitwa Weighted Average unakuja na Utumbo wako eti Economics, sijui UVCCM. Yaani ndio Akili yako ilipoishia hapa unashindwa kujibu hoja. Yaani akili yako ni ile inayoburuzwa juu juu tu bila kuchambua, pengine mipasho ya kwenye khanga ndio fani yako unayoimudu zaidi. Kusema ukweli kama wewe ni miongoni mwa Vijana wa Upinzani basi jua tu unatuaibisha sana Wapinzani wengine.

Ya serikali kununua Mafuta Russia waambie wenyewe, mio sipo Serikali, na hata sipo huko UVCCM unakojifichia.

Siwezi kujibu Non sense

Mimi mzalendo naongea suluhisho la Bei ya mafuta....Sasa wewe unaongea nini?

Poor, puwa .puwaaa mind
 
Nikujibu Kwa mfano rahisi wa hesabu, hapa lakini ni kama kichwa chako kiko vizuri kwenye mambo haya ya hesabu ndo utaelewa, maana nazo ni wito.

Wewe unanunuaga mchele kwa TZS 1,000 kwa kilo kisha unauza kwa TZS 1,500 na kupata faida ya TZS 500 kwa kila kilo. Yaani faida yako umeweka iwe TZS 500 kila kilo. Sasa inatokea umebaki na kilo 100 kwa stock na kule unakonunua umepanda mpaka TZS 1,200 kutoka TZS 1,000 kwa kilo.

Tuseme umechukua mzigo mpya wa kilo 400. Ina maana kwenye stock/store utakua na mzigo wa 100kg x TZS 1,000 zilizobaki mwanzo na mzigo mpya wa 400kg x TZS 1,200 uliouleta Sasa. Au kwa hesabu zingine utakua na mzigo wa jumla kilo 500 ambazo gharama yake ya kununua ni TZS 100,000 + TZS 480,000 = TZS 580,000.

Ukipiga hesabu hapa ni sawa na kusema mzigo uliokua nao wastani wa bei yake ni TZS 580,000/500kg = TZS 1,160 kwa kilo. Tukija kwenye faida ya TZS 500 kwa kila kilo basi ndo unajikuta ulipoingiza tu mzigo mpya wa TZS 1,200 basi Bei ya kuuzia nayo imepanda kua TZS 1,160 + TZS 500 = TZS 1,660 kutoka Ile TZS 1,500 uliokua ukiuza awali.

Kifupi formula inayotumika hapa inaitwa "Weighted Average", ipo imekubalika.
This is nonsense

Hii sio hoja ya kupunguza Bei ya mafuta

Watu wanaongea suluhisho, wewe unaleta ubishi Kwa hesabu za Form 4 failure
 
Dah,
We jamaa una upeo mdogo sana. Wapi nimeongelea kua nilichoandika kitapunguza bei ya mafuta? Watu kama nyinyi itabidi mtengewe jukwaa lenu aisee, maana mnatupa sana tabu kuwaelewesha tukichanganyika jukwaa moja.

Kuna mdau kauliza inakuaje bado kwenye stock tuna mzigo wa zamani wa bei rahisi lakini tunauuza kwa bei kubwa, nikamjibu kua njia wanayotumia kutafuta cost ni weighted average, nikatoa na mfano hii method inavyofanya kazi.

Kama huelewi humu basi sio lazima uingie, majukwaa yako mengi
 
Back
Top Bottom