Ole Sosopi ahojiwa polisi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema Taifa(BAVICHA), Patric Ole Sosopi leo amehojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam kwa tuhuma ya kutoa lugha chafu inayotishia uvunjifu wa amani.

Sosopi alifika kituoni hapo saa 4.10 asubuhi huku ameambatana na wakili wake Frederick Kikwelo huku wakisindikizwa na wafuasi watano wa chama hicho.

Akizungumzia suala hilo baada ya kutoka polisi mwanasheria wake alisema mwenyemkiti huyo alihojiwa kwa nusu saa na alipewa dhamana na jeshi la polisi huku wakiendelea na upelelezi wao ambapo ukikamilika watakabidhi kwa mwendesha mashtaka kwa ajili ya kupitia ushahidi.

Sosopi alisema baada ya kuhojiwa alielezwa na jeshi la polisi kuwa arudi Julai 18 mwaka huu lakini hawajampa sababu ya msingi ya kurudi siku hiyo.

“Polisi hawajanipa sababu ya msingi ya kurudi Julai 18 mwaka huu,”alisema Sosopi.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro alipoulizwa kuhusu alichohojiwa Sosopi, alisema hana taarifa hizo hivyo atafuatiulia
 
Aliongea nini?
 
Sasa kama anajiamini
Asirudi
Hapo ntajua hata tarehe 23
Anajiamini.

HAPA TULIA
KULE MAGUFULI!!!
 
Vipi akiwa hapo polisi hakuwaamrisha vijana wake wa BAVICHA wapambane na Polisi?
 
siku hizi unashinda mitandaoni ili na wewe uchaguliwe kama wenzako lakini wewe elimu yako ni form 4 pale mazengo laki unaweza pata bahati maana magu uchagua watu wasio na vision kama wewe jitahidi

swissme
 
Naona umekopi ule utumbo wa kwenye ile mada ya mapato umekuja kuuweka hapa.
 
Back
Top Bottom